Hamilton, New Zealand
PAKA mmoja huko Hamilton nchini Uholanzi amegundulika kuwa na mchezo mchafu wa kuiba nguo za majirani na soksi hasa wakiwa wamelala usiku wa manane.
Taarifa zilizotolewa na mmiliki wa paka huyo, Sarah Nathan zimeeleza kuwa katika kipindi cha miezi miwili, paka huyo mwenye umri wa miaka sita ambaye anayejulikana kwa jina la Brigit aliiba nguo za ndani za ndani (boxer) 11 na zaidi ya soksi 50. Cha kushangaza...
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Global Publishers
0 comments:
Post a Comment