RECODI .Binadamu wenye tabia na maumbile ya ajabu zaidi duniani.





  1. Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo 
    ( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
    (ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa pamoja.
    (iii) kuna wengine wana uke na matiti ila hawana haiba ya kike kabisa, hawana feelings za kuingiliwa.(jikedume)
    (iv)kuna wanawake ila wana ndevu, mustachi, misuli, sauti nzito na wanapenda kamapania za wanaume
    (v)kuna wanaume ila wana sauti nyembamba, ****** makubwa na matiti makubwa na wanapenda kampani za wanawake.
    Ningependa kufahamu maisha yao, asili yao , uwezo wao wa tendo la ndoa na behaviour zao kwenye mahusiano, Je wanauwezo wa kumpa/kupewa mimba? Nguvu zao kimaumbile (reproductive organs) zinafanya kazi kama kawaida?

    Ningeomba msaada wa mchanganuo wa viumbe hawa na mahusiano ya kwenye mambo ya LOVE & SEX


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: