Rais Maduro ahaha kuunusuru uchumi wa Venezuela



Rais Nicolas Maduro wa Venezuela
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ametangaza mpango wake wa kutengeneza fedha mpya ya nchi hiyo katika kujaribu kuunusuru uchumi wake.
Amesema fedha hiyo itajulikana kwa jina la Petro inadaiwa itaimarishwa na utajiri wa Venezuela unaotokana na mafuta, gesi, pamoja na dhahabu.
Hata hivyo, wabunge wa  upinzani wameukebehi mpango huo.
Uchumi wa Venezuela umedorora mno kutokana na kushuka kwa mapato ya mafuta pamoja na kuporomoka kwa thamani ya fedha yake ya sasa ya bolivar.
Hata hivyo wakati wa mkutano huo, Maduro hakuzungumzia zaidi namna, au lini sarafu hiyo mpya itazinduliwa.





Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: