Mapenzi yawachanga hadi kujitupa mtoni



Wasichana hao wakiokolewa na askari wa zimamoto Mwanaume mmoja kutoka China amejikuta katika wakati mgumu baada ya mpenzi wake wa...
 


Wasichana hao wakiokolewa na askari wa zimamoto

Mwanaume mmoja kutoka China amejikuta katika wakati mgumu baada ya mpenzi wake wa sasa na wa zaman kujitosa mtoni ili kuona nani ataanza kuokoloewa kwanza.
Wu Hsia, 20 aliachana na msichana wake wa awali, Jun Tang 20 baada ya kumpata mpenzi mpya, Rong Tsao mwenye umri wa miaka 22.
Baada ya kupita miezi 3, Jun akaanza kufanya jitihada za kumpata tena mpenzi wake huyo.
Ndipo Wu alipoamua kupanga kukutana nao wote wawili lakini alishindwa kuamua abaki na nani.
Wasichana hao wakiibuliwa kutoka mtoni
Wasichana hao wakiibuliwa kutoka mtoni
Siku nyingine alipanga kukutana nao baada  kukutana walianzisha mabishano ya nani anapendwa zaidi na ndipo wapoamua kujitosa mtoni kuangalia upendo wa mpenzi wao yamekolea kwa nani.
Msemaji wa Polisi alieleza kuwa wasichana hao walianza kubishana na Jun akahisi kutukanwa na mpenzi mpya wa mvulana wake hivyo alichukua uamuzi wa kujitosa mtoni na kuanza kumpigia kelele Wu aje amuokoe.
Rong alipoona hivyo, naye akajitosa mtoni kisha wote wakaanza kupiga kelele wakitaka msaada wa kuokolewa na mpenzi wao.
Askari wakipokea wasichana hao
Askari wakipokea wasichana hao
Lakini watu hao walikuja kuokolewa na askari wa zimamoto.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: