Siri ya Kumfanya Mwanamke Aathirike Kwa Uraibu Kwako




 
Kuona sanaa ya kutongoza ikitumika vile ipasavyo ni kama vile kuona mhariri akighani shairi. Kuna watu stadi ambao huifanya kuonekana rahisi, na chemia wanayojenga ndani yake ni ya kustaajabisha.

Kabla hujasoma zaidi ya hapa nataka tufahamiane vizuri ya kuwa hutatumia siri hii KUMNYANYASA MWANAMKE YEYOTE.
Siri hii ambayo nataka kukuonyesha ni wanaume kidogo dunia hii wanaoijua na imefanywa siri kwa wachache hivyo wakati wowote tunaweza kuamua kama NESIMAPENZI.com kuiondoa post hii bila kukujulisha. Pia tunatumai umesoma sheria na masharti ya NESIMAPENZI.com hivyo hatutahushishwa ama kulaumika na matukio yeyote ambayo yatakutokea iwapo utaamua kuendelea kusoma machapisho yeyote katika blog hii.

Ok tukirudi kwa mada yetu kunakitu nataka kukuuliza. Je ushawahi kuathirika na uraibu wa kitu chochote?


Hapa siongei kuhusu dawa za kulevya. Naongea kitu chochote kile ambacho kishawahi kukufanya kuingiwa na hamu ya kukitaka papo hapo. Inaweza kuwa chakula ama kitu ambacho ulitaka kununua.

Je ulikuwa ukijua ya kuwa hio hamu yote imetokana na saikolojia ambayo hujijenga katika mwili wako? Hii inaitwa 'uraibu kasi', na hii mbinu imebobea kwa watangazaji bidhaa ambao hutumia sanaa hii kufanya wanunuzi kukimbilia kununua bidhaa zao. Wanajua rangi, sauti, maneno, na shepu ambazo zitafanya kubadilisha homoni na mfumo wa neva zako mwilini. [Soma: Saikolojia kumfanya mwanamke akupende daima]

Hii ni nguvu ya hali ya juu ama?

Ok well sasa waonaje wewe kama ungeweza kuwa na uwezo wa kutumia 'uraibu kasi' kwa wanawake? Sababu nakuaminia ya kuwa una uwezo mkuu wa kutumia ujanja huu kwa urahisi. (Kwa wale ambao ni wapya kwa blog hii wanahitaji kusoma machapisho ya awali kurahisisha mpango mzima)

Ukitaka kumpatia mwanamke 'uraibu kasi', uchawi wote uko kwa miguso yako. Wanawake kwa kawaida wanahisia zaidi kwa miguso ukilinganisha na wanaume, hivyo unaweza kujenga nishati kubwa ya hisia kwa mwanamke kupitia miguso yako. [Soma: Tambua kama mwanamke anakudanganya kwa kuangalia miguu yake]

Ufunguo wa kumfanya mwanamke awe na 'uraibu kasi' ni kuhusisha miguso yako na vitu ambayo anavipenda kwa uzoefu, jambo ambalo si gumu kutimiza. Watangazi bidhaa wamekuwa wakitumia mbinu hii miaka nenda rudi inayojulikana kama 'nanga' ama anchors kiingereza.

Kunanga ni kuhusisha vitu viwili ambavyo havina uhusiano wowote ule ili kuleta uhusiano huo katika akili ya binadamu. Mfano ni katika utangazaji wa gari ambapo utaona mwanaume akiendesha gari hilo huku akiwa amekaa na mwanamke mrembo kando yake. [Soma: Makosa yanayotokea wakati wa kutongoza mwanamke]

Watengenezaji vipodozi utaona wakionyesha mwanamke akijipodoa akiwa na mwanaume, matangazo ya vyakula wakionyesha familia yenye furaha, watangazaji vileo wakionyesha wanaume wenye nguvu wakiwa na wanawake warembo nk.

Ok hivi vitu vyote vina uhusiano gani na mwenzake?

Havina, lakini pindi ambapo uhusiano utajengwa katika akili ya mnunuzi kunajenga ile hisia ya uzoefu ambayo inaleta 'uraibu kasi' ambayo hufanya wengi kukimbilia kununua bidhaa. Sasa sijui kuhusu wewe lakini kama makampuni wanatumia mamilioni ya pesa kutumia mbinu hii ya 'uraibu kasi' kufanyia matangazo yao bila shaka inaashiria hufanya kazi, naonelea mbinu hii pia inaweza kukufanyia kazi.

So utatumia nini mpaka mwanamke aingiwe na uraibu kasi? Rahisi. Kile unachotakiwa kufanya ni miguso yako ama kumakinika na mambo chanya ambayo yanampendeza au kumfurahisha...inaweza pia kuwa misisimko. [Soma: Jinsi ya kumpendeza mwanamke]

(Hakikisha ya kuwa miguso yako unaifanya kiustaarabu kwani akigundua atakuwa na maswali kutaka kujua dhamira yako)

Hii inaweza kuonekana rahisi, pia unaweza kufanya hivi kwa kujifanya unataka kuteka atenshen kutoka kwake. Unaweza kuushika mkono wake kiulaini kwa sekunde. Fanya hivi kwa muda, itafikia pahali flani atazoea miguso yako na kuihushisha na furaha ama vitu vinavyompendeza. Baada ya muda unaweza kutumia maneno flani kama 'nanga' yako.

Kwa mfano, kama amezoea miguso yako na anaonyesha ya kuwa anarespond vizuri kwayo, anza kuihusisha miguso yako na maneno ambayo unamwambia. Mfano maneno kama: napendezwa na mazungumzo yako, uko raha nk.

Tena, rahisi zaidi, iwapo umekuwa ukitumia mbinu hii vizuri na mara kwa mara unaweza kuipeleka popote. Mfano unaweza kumtumia text ama kumpigia simu kwa kutumia maneno yako ya 'nanga' ambayo ameyazoea na miguso. Huku kutamfanya kuingiwa na hisia chanya kwako kwa kutumia maneno akiwa mahali popote pale. Wakati ambapo umebobea kwa kutumia mbinu hii, unaweza sasa kuhusisha maneno yako ya 'nanga' kwa kumkumbatia, kumkiss, nk. [Soma: Jinsi ya kumpagawisha mwanamke]

Ujanja hapa ni kuanza na mguso laini kwa mkono wake, hakikisha ya kuwa hufanyi mambo yawe magumu. Comment kama una swali. [Soma: Je, wazijua ishara za kuonyesha kama mwanamke anakupenda?]


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: