CHOMBEZO; HEHEEE. KANTANGAZEEE!!!



SEHEMU YA KWANZA

Tokeo la picha la CHOMBEZO; HEHEEE, KANTANGAZEEE!!! sehemu ya 2







1
Moyo wangu unanienda mbio kama saa mbovu, mapigo yake yanakwenda kasi sana. Damu inanichemka kwa mwendo usio wa kawaida. Japo chumba hiki kina kiyoyozi kilichokifanya kiwe na baridi nyingi, lakini jasho linanitiririka katika mwili wangu, kama nipo kwenye jua kali. Ninajaribu kujizuwia nakuweka mambo sawa, lakini wapi nafsi inapingana na fikira zangu. Kinyume chake sasa nafsi yangu inaamua kuniadhiri. Uume wangu unasimama dede hadi misuli yake inaniuma!
Naam inaniuma sana kwani imesimama kwa muda mrefu, bila kupata hitaji lake. Ninajaribu kuwaza hili na lile ili kutoka katika fikira hasi moyoni mwangu, lakini inakuwa ni kama kumpigia mbuzi Gitaa! Hali inazidi kuwa tete kwa upande wangu. Sasa ninaanza kuhisi sauti inakuwa na kibesi zaidi, tena inakatikakatika niongeapo, kikohozi hakinishi. Maumivu ya Uume na misuli kukakamaa kwa muda mrefu, lakini pia kule kuzuiwa kutoka na kutalii pale pahala adhimu ambapo inalazimisha fikra zangu niipeleke!

Ajabu iliyopo ni kwamba, Uume wangu hautambui kuwa sehemu inayoshupalia si halali yake, lakini pia haijaridhiwa kuingizwa na mwenyewe. Yote yanayotokea ni kwa sababu ya Dada mrembo, mwenye macho makubwa manene meupe, nyusi nyingi juu ya macho yake, kope zake ndefu ila siyo zakubandika, ni zenyewe halisi. zimepakwa wanja nakuyapendezesha macho yake minal aal. Macho yake yakitazama yanatazama kwa tabu, yapo remburembu saa zote. Kichwani mwake amevaa Less Wigy la bei mbaya. Kifua chake kina milima midogo ya matiti yaliyokuwa yamesimamishwa na sidiria iliyoyafanya matiti yake yasimame wima. Kiuno cha Dondola kilichobinuka, makalio yametokeza kiasi ile Skin Jeanz aliyoivaa ilimbana ikainuliwa nyuma kwa nyuzi kadhaa. Lakini makalio yake yamefunikwa na fulana ndefu iliyomfika katika mapaja yake. Miguuni mwake alikuwa amevaa simple za kutumbukiza. Nguo yake ya chini na ya juu pamoja na viatu vyake vyote vilipishana rangi, yaani watoto wa mjini kuvaa kwa namna hii wanakuita KACHUMBARI. Fulana yake ni ya rangi ya kijani, Skin Jeaz yake ni ya rangi nyekundu, na viatu vyake ni vya rangi ya manjano. Miguu yake minene imempendezesha sana. Rangi yake ya mwilini si mweusi, wala si mweupe, yupo kati na kati, ingawa anaelekea katika rangi ya Chocolate. Ana shepu inayoliliwa na kila mwanamke wa mjini.
Ameingia katika sehemu yangu ya kazi, amelipia na anahitaji huduma. Ameingia chumbani akatoa nguo zake, katika sehemu yakubadilishia nguo, kisha akaja kulala katika kitanda ambacho mie ndiyo ninatolea huduma, kwenye chumba maalum. Ninapomuona akiwa katika hali aliyo, na huduma ninayoitoa mie, hakika moyo wangu ukaanza kunishinda kwa tamaa iliyonijaa tele. Akapanda kitandani akalala kifudifudi, akiwa amevaa mtandio mwepesi kiunoni mwake. Amevaa nguo ya ndani inayoonekana kupitia mtandio mwepesi aliojifunika nao, yenye rangi ya Zambarau. Ya kufunga kamba pembeni. Wenyewe huiita bikini. Muinuko wa makalio yake makubwa na laini, ndiyo yaliyokuwa yakinisumbua maumbile yangu. Ulaini wa ngozi yake, na kwa namna alivyokuwa amelala kifudifudi juu ya kitanda, ninapofanya kazi ya kuwamassage watu mbalimbali, hakika leo uzalendo unaelekea kunishinda. Ibilisi amenisimamia hataki kuondoka ila ananilazimisha kuivunja amri ya sita tu! Namkemea moyoni, ila kama anaelekea kushinda.

“Kaka mie naja mara moja nataka niwahi kuondoka, naona maandalizi yachukuwa muda mrefu, hayo massage mbona sifanyiwi kulikoni, au mna upungufu wa vifaa?”

Mteja huyu niliemfahamu kwa jina la Njasi Mwajasi kwa mujibu wa risiti yake aliyonionesha aliyolipia huduma hii ya kukandwa, au kama wengi wanavyoiita Massage, anazungumza katika lafudhi ya mahalati wa Kidigo wa Mombasa.
“Hapana dada mambo yote yapo sawa nakupa huduma sasa hivi.” Hatimae nilijitutumua na kuzungumza huku nikianza kumpaka mafuta mgongoni mwake kulipokuwa wazi akiwa amejifunika mtandio laini katika kiuno chake hadi mapajani. Mgongo mzuri, uliokuwa na mfereji mkubwa juu ya uti wa mgongo, ulioendelea hadi chini kwenye makalio. Haukuwa na vipele au vidotidoti laa. Ila ana vinyweleo vya kuhesabu.
Ninampakaa mafuta mgongoni mwake kwa ustadi mkubwa, kisha taratibu ninaanza kumsugua kwa mikono katika sehemu nilizozipaka mafuta maalum ya massage.
Ninaanza kupeleka mikono yangu mabegani mwake, ninatumia vidole vyangu laini vyenye joto lakutosha. Ninamsugua katika misuli ya mabega, kisha ninaifikia shingo yake na naiperuzi taratibu hadi katika masikio yake ninapitisha vidole kwa ustadi, naviingiza masikioni ninavizungusha taratibu
Hali yangu huko kwenye Ashaakum kila ninapojitahidi kujibalaguza, lakini wapi mwavuli unazidi kunichomoka kwa kasi. Nyoka anataka kutoka katika hifadhi yake aje amwage sumu. Tatizo Uume wangu ni mrefu na mnene wa wastani, hivyo kwa nguo ya mpira niliyovaa haiwezi kuhimili kuuzuia isiinue juu.
Hivyo inazidiwa nguvu sana, na Uume inainua sehemu kubwa ya kati ya nguo yangu. Ninamsugua kwa makini mgongoni mwake huku nikimkwepa nisimguse na hapa mbele kwangu kulotutumka kuliko maelezo.
Ninafanya hivyo shingoni na masikioni, ninarudi mabegani, hatimae ninaanza kuusugua uti wa mgongo wake. Ninapoanza kumsugua kwa ile steyle ya Finger Pressure, ninamuona utulivu wake unaanza kupoteza dira. Mara anajikunja na kujikunjua kwa kadiri vidole vyangu vinavyokuwa vinaperuzi mgongoni mwake. Mikono yangu ninaishusha hatua kwa hatua nikim massage sehemu za mgongoni hadi nikafika kiunoni kwake. Hapa sitaki kufanya haraka ninaanza kumsugua taratibu kiunoni mwake. Laahaula mikono yangu! Nimegusa shanga nyembamba ya dhahabu kiunoni mwake. Huyu nae sasa si angeivua tu hii, kutafutana lawama tu huku. Ninawaza peke yangu, kwani shanga ndiyo imentibua kabisa.
Njasi amelala kifudifudi lakini mihemo yake naisikia kwa karibu pumzi zikimpaa. Kugusa hii chachandu ya kizungu kiunoni mwake, kwangu imekuwa kama kuzima moto kwa mafuta ya petrol. Kwani hisia zimepeleka taarifa kichwani kuwa kiuno kina shanga tena ya Gold. Mikazo ikaongezeka katikati ya mwili wangu. Mbona leo chamoto ninakiona?! “Wee uume wangu wee, shika adabu yako, niache mwenzako nifanye kazi ya watu, usinifanye hivi unaniadhiri hivyo ujue!” Ninajisemea mwenyewe moyoni mwangu. Lakini sipati unafuu zaidi ya maumivu. Hizi kazi zingine jama za lawama tu, sasa nini hii mtu njaa inaniuma chakula ninakiona lakini sina ruksa kukila?!!!
Nafsi yangu inanambia nikisaliti kidole na jiwe liwalo na liwe. Hivyo nihakikishe nafanya mbinu zote za kirijali lakini tu, nyoka aingie shimoni mwake akateme sumu. Basi nami sina budi ila kutekeleza matakwa ya moyo wangu, kwani moyo ukiamua lake huwezi kulizuwia utaumia.

Ninamsugua taratibu kiunoni, napeleka mikono yangu kati na pembeni ya kiuno chake, namuona Bibie anazidi kujinyonganyonga kama nyoka aliemwagiwa mafuta ya taa! Mara moja moja mikono yangu naipitisha ndani ya mtandio na nguo ya ndani hadi kwenye makalio yake. Nayasugua taratibu kwa kuyakanda kanda kama mtu anaekanda Unga wa ngano wa Maamri. Mara Njasi analala ubavu wa shoto, anavua mtandio wake anautupa sakafuni mbali naye, kisha mikono yake anaifunga katika mabega kwa mtindo wa alama ya X, akiwa anahema sana. Akalala ubavu wa kushoto, nguo yake ya ndani. Ninaiona pasi na kizuwizi chochote, ina meremeta kwa mafuta.
Ninapomgeuza ili alale kifudi fudi hataki kugeuka. ila anaendelea kulala ubavu! Basi ninaona siyo issue, mie na mafuta yangu ninamfata upande wa mbele yake, ninaanza kumpaka mafuta nilonayo, katika tumbo na sehemu chache ambazo mikono yangu inapafikia kutokana na mikono yake alivyoiweka X na kuifunga.
Ninaanza kupapasa tumbo lake taratibu hadi kitovuni na kifuani mwake. Mikono yangu inafanikiwa kufika pia katika titi la kushoto ambalo halijazibwa, ninaliminya minya taratibu kutoka chini kwenda juu. Ninaipikicha taratibu chuchu yake pana, mara Njasi anaiondoa mikono yake yote na kujilaza chali akiniachia huru mwili wake nimpe huduma kwa nafasi, niutalii kwa kadiri niwezavyo. Hakika nafasi hii, ndiyo niliyokuwa ninaisubiri nakuitafuta kwake kwa Udi na Uvumba.
Mikono yangu ninaipeleka moja kwa moja katika matiti, ninayachezea wa kupekecha chuchu zake, pasi na kumuumiza. Kwa kuwa mikono yangu ina mafuta ninapozipekecha chuchu zake, ulaini wake unamsisimua mara dufu ya inavyokuwa mikono mikavu. Njasi anahema kwa nguvu huku mara moja moja mikono yake ikiishika mikono yangu kifuani mwake lakini haiondoshi. Nikaona hapa chelewa chelewa utakuta mwana si wako. Mkono wangu wa shoto nikaushusha chini ya kitovu chake, ukakutana na uwanja safi uliofyekwa nyasi zake kwa mashine. Mikono yangu ilikuwa ikichomwachomwa kwa mbali na vishina vya vywele za chini zilizonyolewa. Mdomo wangu ulionijaa mate ya uchu nikaupeleka katika lile titi lilokuwa halina huduma. Ninanyonya chuchu yake nene, iliyojaa mdomoni na kunipa burudani ya pekee, huku nikiwa sina upinzani kabisa kutoka kwake. Ama kweli nyege hazina adabu mtu zikimshika.
Njasi siyo tu anahema kwa kasi, bali pia akafungua mdomo wake na kutamka kwa sauti ya puani “Siiiiiiiii! Aaaaaagh, yalaaa, sitaa, sitaaki bwanaaa aaaah” Mie kuona vile kwa uzowefu wa hawa watu, nikaona hapo ndiyo naambiwa niongeze chumvi, chakula kipate ladha.
Basi mkono wangu ninauhamisha kutoka sebuleni nilipokuwa nacheza napo nikaupeleka katika mlango wa chumba, naam nikakutana na mlinzi amesimama imara! Maashaallah Njasi amejaaliwa Kinembe kirefu kinene kinachohamasisha kutiwa mdomoni.
Nami kwa kuwa Uume wangu umeshatema ute hadi ninajihisi nanata mapajani mwangu, ninakisaliti kidole na jiwe liwalo tena na liwe.
Mkono mmoja ninasugua kinembe taratibu, mkono wa pili ninavuta kamba ya Bikini. Mara upande ninaoufungua kamba yake inawachia. Ninapata uwanja mpana sasa wa kujidai. Mikono yangu ninairudisha yote kifuani ninapekecha chuchu zakezote mbili taratibu bila kutumia nguvu wala kuzibana, mdomo wangu nimeupeleka kwemye kinembe ninakibugia mdomoni, kinanijaa mdomoni mithili ya pipi ya kifua.
Ninaachana na yale mashavu yalioingia sanjari na Kihusika mdomoni mwangu, ninacheza na mlinzi mwenyewe tu kwa kumramba sanjari na kumnyonya, nikiendelea kupekecha chuchu taratibu.
Ninamuona ananyonga kiuno bila mie kutarajia. Ee Mungu anipe nini tena sasa, labda anipe Donda nifukuze Inzi! Ninahakikisha Kinembe hakinitoki mdomoni kikenda pembeni, na mikono nayo ninaipambisha na kuiimarisha katika matiti inachambua kama Karanga.
Nayabinya hapa nayatomasa pale, mdomo unamung’unya kitu adhimu. Mara namshika nyongani, nachezea shanga, mara ninachezea masikio yake, ilimradi siyo Massage tena sasa, bali ni Baba yake Massage ndiye ninaemtumia.
Njasi macho yake mapana yanapoteza weusi na kubaki weupe mtupu, pia yanalia machozi ya huba! “Haya KAN TA NGA ZEE! Kama umeninyonya hadi nimekojoa!” Alimudu kusema maneno hayo kwa sauti ya puani kwa kukatakata huku akijipinda pale alipo akanyoosha mikono yake hadi katika uume wangu. Sikutaka asumbuke bure kuitoa kwenye zipu ikaja kumuumiza bure. Ninaachia mkono mmoja katika titi, ninamtolea mashine nae anaiweka mkononi mwake anaisanifu.
Nadhani anakipima kigongo kama kitamtosha au kitampaka shombo tu! Anaijaza mkononi inajaa. Anaipekecha kwa ustadi mkubwa, anaona haitoshi anajipinda ubavu anaitia mdomoni mwake na kuinyonya.

“Siwezi kukutangaza hata siku moja, nisije kukupa umaarufu bure! Watu wakakuzengea. Lakini nimwambie nani? Mie mtu mzima na akili zangu timamu sina ngoma za kitoto.”
Ninamjibu kwa namna alivyobinuka ninapata fursa kumchezea makalio. Ninapoyatikisa na kuyaachia, huendelea yenyewe kucheza kwa sekunde kadhaa ndipo yanatulia! Ama kweli amejaaliwa vitu vingi.
“Ohoooooooo…..” Najizuwia kupiga kelele, lakini sauti imeshatoka kutoa maneno hayo. Njasi ananinyonya kama mtoto anaenyonya titi la mama yake. Yaani anavuta hapo kwenye tundu, kama anaetaka kutoa kitu.
Mara mkono wake mmoja anaupandisha kifuani kwangu na kupapasa Garden Love. Mikono yake ina joto jingi anapofika katika chuchu yangu naanza kuona double double, Nami mikono yangu ninaishusha zaidi hadi katika sehemu ya haja kubwa. Ninafanikiwa kupagusa sawasawa. Kwa kuwa vidole vyangu vina mafuta ninampiga brashi ya kidole taratibu. Kwa kumfanyia hivyo ninamuona nae ananing’ag’ania kwa nguvu. Anautoa uume mdomoni mwake anatamka kwa sauti ya puani, macho yamemlegea, yapo meupe mboni hazionekani. “HE HEE KAN TANGA ZEE!!! Sijali lolote kwa raha hizi wewe umesomea wapi mambo haya eee?! Hivyo hivyo, hapo hapo Baby aaa, eee, iiiiii, ooooo, uuuuuuu patamu?!”
Hatimae ninamrudisha chekechea bila kujitambua, anasoma a, e, i, o, u. Ameongea maneno hayo huku ananivua nguo yangu ya chini Track ya mpira iliyokuwa inamziba ziba.
“Sikutangazi Baby, nipe mambo adimu hayo nikupe burudani ambayo hujawahi kupewa tangu umevunja ungo.”
Ninamwambia maneno yakumuhamasisha baada ya kuona mambo yashaingia mamboni. Nami ninatoa nguo yangu ya juu. Nigonge show kwani yupo tepetepe Uke umemfunguka, amerowa ndembendembe kinembe kimemsimama wima, kama kina miguu kinacheza Azonto!
Sitaki kushangaa kwani Mori ushanipanda nataka kupanda tu sina jingine. Ninasaula viwalo vyangu, Njasi nae anaifungua Bikini upande uliobakia, anaitupia alipotupia mtandio wake. Tunakuwa kama wanga vile, tupo uchi wa mnyama, tunataka kucheza Mahepe!.
Macho yetu hayatazamani yakatulia, yamejawa na wingi wa aibu. Ninapomtazama ukeni kwake, nakishuhudia kinembe kinacheza kimesimama wima kimevimba, kimejaa mithili ya Uume wa mtoto mchanga wa siku tano.
Uume wangu emesimama kidete, unacheza Ngololo. Ninamsogelea kitandani, ile nainua mguu tu kuupandisha kitandani, Ohoo mara mlango wa chumbani unagongwa kwa fujo!
HAYA MZIKI UMEANZA. TUKUTANE KESHO MUDA KAMA WA LEO, TUPATE KUELIMISHANA, NA KUBURUDISHANA.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: