MKUSANYIKO WA HABARI ZA MICHEZO LEO TAR 31 .8 TETESI NA KUFUNGWA KWA USAJIL PAMOJA MA TANZANIA

RECOD YA STARS VS BOTWASANA Tz 120 bot 140
baadhi ya wachezaji wameweka rekodi mbalimbali wakiwa na timu hiyo, Stars ilicheza dhidi ya Botswana na kushinda mabao 2-0, yaliyofungwa na kapteni wa timu hiyo, Mbwana Samattamechi ya pili, pia ikitambuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) dhidi ya Burundi.Katika mechi hiyo, Stars ilishinda mabao 2-1, yaliyofungwa na Simon Msuva na Mbaraka Yusuph.Hawa ni baadhi ya wachezaji walioweka rekodi baada ya mechi hizo mbili za kirafiki

.1.Mbwana Samatta
Ameweka rekodi ya kufunga magolimawili kwenye mechi moja ya timu ya taifa, Taifa Stars.Hakuwahi kufanya hivyo mwanzo. Mabao hayo yamemfanya straika huyo anaye[8/31, 13:57] ‪+255 672 809 929‬: Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anaeichezea klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco amewasili nchini leo August 31, 2017 kwa ajili ya kuungana na wachezaji wengine kwenye kambi ya Taifa Stars kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA dhidi ya Botswana September 2, 2017 uwanja wa Uhuru, Dar.

Shaffihdauda.co.tz ilikuwepo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere na kufanikiwa kupiga story na Msuva ambapo amejibu maswali mengi kuhusu maisha yake mapya nchini Morocco.

Tofauti ya Tanzania na Morocco upande wa soka

Nimefika kule nimepokelewa vizuri na nimeweza kufanya kitu ambacho wao wenyewe wameona nafaa kuwa pale kwa hiyo naona hakuna tofauti sana na Tanzania.

Kuhusu kubadilishwa position ya uchezaji

Katika maisha chochote unachopewa unatakiwa kupokea, kama sisi wacheza mpira mwalimu anaweza akakuangalia akaona huyu anafaa kucheza namba mbili, naweza kwenda nchi nyingine mwalimu akaniangalia akaona naweza kucheza nafasi nyingine kulingana na mfumo wake.

Kwa hiyo sishangai hapa nilikuwa nacheza kama kiungo mshambuliaji nikitokea pembeni kushoto au kulia ni walimu tu wenyewe wanaamua wanitumiaje kulingana na mifumo yao. Mwalimu wangu wa sasa wa Jadid ameona nafaa kwenye umaliziaji na niko vizuri kwenye movement. Aliniambia aliniona mara kadhaa na akasema anahitaji kuona uwanjani kile alichokuwa akikiona kwenye video.

Kwa hiyo katika mechi nilizocheza nimeweza kuonesha uwezo wangu na hadi sasa kwenye ile timu nacheza kama namba 10.

Nacheza nafasi yoyote ya mbele kwa sababu mimi nahitaji kufunga na pia nahitaji kutengeneza. Namba yoyote mwalimu atakayonipanga nacheza, tangu nikiwa mdogo nilikuwa nacheza namba 9 au 10.

Jezi yenye jina la mtu mwingine

Jezi zilikuwa bado hazijatengenezwa kwa sababu namba yangu haikuwepo kabisa kwa hiyo wakanipa jezi ya mtu (namba 22 ikiwa na jina ambalo si la Msuva) ambaye hakuwepo alikuwa timu ya taifa kwa hiyo nikawa navaa hiyo jezi kwenye mazoezi nashukuru kwa sasa nimeletewa vifaa vyangu vipya kwa hiyo nimekabidhiwa jezi yangu namba 27.

Jezi namba 27

Niliitaka jezi namba 27 kwa sababu kwa upande wangu nilitokea kuipenda kwa sababu ya klabu yangu ya Yanga niliyokuwa naichezea kabla ya kwenda Morocco, niliitumikia vizuri kwa hiyo nilikuwa naamini itanifanya nifanye vizuri zaidi. Kiukweli namba 27 kwangu haina maana yoyote ila naamini nikiivaa inanifanya nifanye kitu flani.

Lugha gongana

Ile ni nchi ya kiarabu napata tabu kuhusu suala la lugha, wenyewe wanazungumza sana Kiarabu na Kifaransa kidogo kwa upande wangu sijui Kifaransa wala Kiarabu, lakini lugha ya mpira ni moja. Lugha hizo za mazungumzo nitajifunza taratibu kwa sababu nina miaka mitatu pale. Yupo psychologist ambaye anajua kiingereza kidogo na ameniahidi kunitafutia mwalimu wa kunifundisha kiarabu na kifaransa.

Kakabidhiwa mjengo

Kule nina nyumba yangu naishi mwenyewe lakinin kuhusu mambo ya kupika, kufua na mambo mengine nimetafutiwa mtu wa kunisaidia vitu hivyo. Endapo nahitaji vitu vya ndani huwa anakwenda huyo mtu anaenisaidia au wakati mwingine huwa namwagiza huyo psychologist lakini huwa natoka pia mwenyewe kwenda kununua vitu vidogovidogo vya ndani kwa sababu naishi karibu na shoppers.

Ame-miss wali, dona

Kuna vyakula vingine nimekutana navyo kule huku nilikuwa naringa kula lakini kule hakuna jinsi inabidi nile na wao wanasisitiza kula kwa sababu wanasema vinamjenga mchezaji endapo utazingatia kula kwa wakati.

Na-miss wali kwa sababu unavyopikwa kule na huku ni tofauti lakini ugali kule hakuna, hakuna mtu anaepika ugali lakini vipo vyakula ambavyo huku pia nilikua nakula kama tambi na mikate.

Kipigo kwa Yanga Ngao ya Jamii chamvuruga

Kabla ya mchezo niliwapa hope na nilikuwa naamini timu nimeiacha vizuri na ilikuwa kwenye morali kwa upande wangu nilikuwa naamini watashinda dhidi ya Simba lakini kwenye mpira kuna mambo mengi na matokeo ya mwisho Yanga walipoteza mchezo kwa mikwaju ya penati.

Kwa upande wangu niliumia na nilihuzunika kwa sababu ni timu ambayo sijatoka muda mrefu kwa hiyo nilikuwa najiona kama bado nipo Yanga kwa hiyo matokeo yaliniumiza kiukweli.

Changamoto za ugenini

K
[8/31, 14:56] Brain mpogole dream mbh: Uganda Cranes XI:

Denis Onyango (GK), Nico Wakiro Wadada, Godfrey Walusimbi, Isaac Isinde, Murushid Juuko, Wasswa Hassan Mawanda,Khalid Aucho, Emmanuel Arnold Okwi, Faruku Miya, Derrick Nsibambi,  Joseph Benson Ochayadadi ya mabao 13katika mechi 38 alizochezea nchi yakeKati ya mabao hayo 13, bao moja alilifunga katika mechi ya Chad ambayo hata hivyo matokeo yake yalifutwa kufuatia nchi hio kujiondoa mashindanoni kwa kile walichodai kukumbwa na ukata.Anakuwa mchezaji wa pili kufunga magoli mengi kwenye timu ya taifa kwa miaka ya hivi karibuniAnayeongoza kufunga magoli mengi mpaka sasa kwenye timu ya taifa kwa miaka ya karibuni ni Mrisho Ngasa ambaye ameifungia Stars jumla ya magoli 25
.1.Himid Mao
Kiungo huyu wa kukaba wa Taifa Stars, baada ya mechi hizo mbili ameweka rekodi ya mechi zote mfululizo wa timu hiyo, tangu mwaka 2015.Himid hajawahi kukosa mechi yoyote ya timu ya taifa na mpaka sasa ameshafikisha jumla ya michezo 12.Mchezaji huyo anayetokea Azam FC, ambaye pia ni nahonda msaidiziwa Stars, alianza kuichezea timu hiyo katika mechi za kuwania kufuzuFainali za Kombe la Mataifa Afrika AFCON zilizofanyika mwanzoni mwa mwaka huu nchini Gabon. Hakuwahi kuitwa chini ya kocha Mart Nooij lakini mara tu Boniface Mkwasa alipochukua usukani alimjumuisha katika kikosi na kumuanzisha katika pambano dhidiya Nigeria lililopigwa mwaka Septemba 5, 2015 jijini Dar.Ingawa pia aliicheza mechi za Kombe la Chalenji nchini Ethiopia mwaka 2015 lakini hazikujumuishwa kwenye rekodi hiikwa kuwa kikosi hicho kinajulikana kama Kilimanjaro Stars kilichohusu wachezaji kutoka Tanzania Bara tu.
1.Mbaraka YusuphStraika kinda wa Kagera Sugar, ameweka rekodi ya kufunga goli kwa mara ya kwanza akiwa kwenyekikosi cha Taifa Stars.Mchezaji huyo alichaguliwa kwa mara ya kwanza na kocha Salum Mayanga, amefunga goli kwenye mechi ya kwanza tu aliyocheza, tena akitokeabenchi.Ni goli la pili alilolifunga dhidi ya Burundi ya kuipa ushindi TaifaStars wa mabao 2-1.
1.Mzamiru Yassin
Ni kiungo ambaye ameweka rekodi ya kuitwa kwenye timu hiyo kwa mara ya kwanza na kuichezea timu hiyo mechi zote mbili.Mzamiru anayeichezea timu ya Simba, ni mmoja kati ya wachezaji wachache ambao wamechaguliwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosichaTaifa Stars.Wengi ni wale ambao wamekuwa wakichaguliwa mfululizo, au walishawahi kuchaguliwa huko nyuma na wamerudishwa.Lakini kiungo huyo aliingia kipindi cha pili kwenye mechi dhidi ya Botswana na pia alianza dhidi ya Burundi, lakini baadaye alitoka kipindi cha pili.Kwenye mechi zote hizo alicheza kwa kiwango cha hali ya juu, akitawala sehemu ya kiungo na kuwa sehemu ya ushindi wa timu hiyo.

[8/31, 13:57] ‪+255 672 809 929‬: Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anaeichezea klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco amewasili nchini leo August 31, 2017 kwa ajili ya kuungana na wachezaji wengine kwenye kambi ya Taifa Stars kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA dhidi ya Botswana September 2, 2017 uwanja wa Uhuru, Dar.uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere na kufanikiwa kupiga story na Msuva ambapo amejibu maswali mengi kuhusu maisha yake mapya nchini Morocco.

Tofauti ya Tanzania na Morocco upande wa soka

Nimefika kule nimepokelewa vizuri na nimeweza kufanya kitu ambacho wao wenyewe wameona nafaa kuwa pale kwa hiyo naona hakuna tofauti sana na Tanzania.

Kuhusu kubadilishwa position ya uchezaji

Katika maisha chochote unachopewa unatakiwa kupokea, kama sisi wacheza mpira mwalimu anaweza akakuangalia akaona huyu anafaa kucheza namba mbili, naweza kwenda nchi nyingine mwalimu akaniangalia akaona naweza kucheza nafasi nyingine kulingana na mfumo wake.

Kwa hiyo sishangai hapa nilikuwa nacheza kama kiungo mshambuliaji nikitokea pembeni kushoto au kulia ni walimu tu wenyewe wanaamua wanitumiaje kulingana na mifumo yao. Mwalimu wangu wa sasa wa Jadid ameona nafaa kwenye umaliziaji na niko vizuri kwenye movement. Aliniambia aliniona mara kadhaa na akasema anahitaji kuona uwanjani kile alichokuwa akikiona kwenye video.

Kwa hiyo katika mechi nilizocheza nimeweza kuonesha uwezo wangu na hadi sasa kwenye ile timu nacheza kama namba 10.

Nacheza nafasi yoyote ya mbele kwa sababu mimi nahitaji kufunga na pia nahitaji kutengeneza. Namba yoyote mwalimu atakayonipanga nacheza, tangu nikiwa mdogo nilikuwa nacheza namba 9 au 10.

Jezi yenye jina la mtu mwingine

Jezi zilikuwa bado hazijatengenezwa kwa sababu namba yangu haikuwepo kabisa kwa hiyo wakanipa jezi ya mtu (namba 22 ikiwa na jina ambalo si la Msuva) ambaye hakuwepo alikuwa timu ya taifa kwa hiyo nikawa navaa hiyo jezi kwenye mazoezi nashukuru kwa sasa nimeletewa vifaa vyangu vipya kwa hiyo nimekabidhiwa jezi yangu namba 27.

Jezi namba 27

Niliitaka jezi namba 27 kwa sababu kwa upande wangu nilitokea kuipenda kwa sababu ya klabu yangu ya Yanga niliyokuwa naichezea kabla ya kwenda Morocco, niliitumikia vizuri kwa hiyo nilikuwa naamini itanifanya nifanye vizuri zaidi. Kiukweli namba 27 kwangu haina maana yoyote ila naamini nikiivaa inanifanya nifanye kitu flani.

Lugha gongana

Ile ni nchi ya kiarabu napata tabu kuhusu suala la lugha, wenyewe wanazungumza sana Kiarabu na Kifaransa kidogo kwa upande wangu sijui Kifaransa wala Kiarabu, lakini lugha ya mpira ni moja. Lugha hizo za mazungumzo nitajifunza taratibu kwa sababu nina miaka mitatu pale. Yupo psychologist ambaye anajua kiingereza kidogo na ameniahidi kunitafutia mwalimu wa kunifundisha kiarabu na kifaransa.

Kakabidhiwa mjengo

Kule nina nyumba yangu naishi mwenyewe lakinin kuhusu mambo ya kupika, kufua na mambo mengine nimetafutiwa mtu wa kunisaidia vitu hivyo. Endapo nahitaji vitu vya ndani huwa anakwenda huyo mtu anaenisaidia au wakati mwingine huwa namwagiza huyo psychologist lakini huwa natoka pia mwenyewe kwenda kununua vitu vidogovidogo vya ndani kwa sababu naishi karibu na shoppers.

Ame-miss wali, dona

Kuna vyakula vingine nimekutana navyo kule huku nilikuwa naringa kula lakini kule hakuna jinsi inabidi nile na wao wanasisitiza kula kwa sababu wanasema vinamjenga mchezaji endapo utazingatia kula kwa wakati.

Na-miss wali kwa sababu unavyopikwa kule na huku ni tofauti lakini ugali kule hakuna, hakuna mtu anaepika ugali lakini vipo vyakula ambavyo huku pia nilikua nakula kama tambi na mikate.

Kipigo kwa Yanga Ngao ya Jamii chamvuruga

Kabla ya mchezo niliwapa hope na nilikuwa naamini timu nimeiacha vizuri na ilikuwa kwenye morali kwa upande wangu nilikuwa naamini watashinda dhidi ya Simba lakini kwenye mpira kuna mambo mengi na matokeo ya mwisho Yanga walipoteza mchezo kwa mikwaju ya penati.

Kwa upande wangu niliumia na nilihuzunika kwa sababu ni timu ambayo sijatoka muda mrefu kwa hiyo nilikuwa najiona kama bado nipo Yanga kwa hiyo matokeo yaliniumiza kiukweli.

TFF RATIBA HAIBADILIK TENA WAMBURA KUTOA ADHABU

KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alfred Kidao amesema kuwa ameagizwa na rais wa Shrikisho hilo, Wallace Karia kumwandikia barua Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi ili kuwaadhibu viongozi wa Bodi ya Ligi waliohusika na kupanga ratiba.
Kumekuwa na malalamiko kutokana na Bodi hiyo kupanga ratiba ya ligi ambapo walishindwa kuzingatia kuwa kuna michezo ya kimataifa ambayo itahusisha timu za taifa jambo ambalo limesababisha baada tu ya mchezo mmoja tu, ligi hiyo ikapanguliwa tena.
“Nimeagizwa na rais nimwandikie barua mtendaji mkuu wa bodi ya ligi ili aweze kuwachukulia hatua viongozi wa bodi hiyo waliohusika na kupanga ratiba hii pamoja na kwamba walikuwa na kalenda lakini bado wamekosea,” alisema Kidao.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ni Boniface Wambura ambaye sasa atakuwa na jukumu la kuchukua hatua kwa wasaidizi wake.

AZAM FC YAWAONGEZA MIKATABAAGGREY MORRIS NA SURE BOYNa Princess Asia, DAR ES SALAAMNYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, nahodha msaidizi Aggrey Morris na Salum Abubakar ‘Sure Boy’ leo wameongeza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.Zoezi la kuingia mikataba hiyo lilisimamiwa na Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, kwenye Ofisi za timu hiyo Mzizima, zilizopo Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam.Awali mikataba yao ilitarajiwa kuisha mwishonimwa msimu huu, hivyo kwa kuongeza mikataba mipya, itawafanya wachezaji hao kusalia ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2019.Uongozi wa Azam FC kwa kushirikiana na benchi la ufundi umewaongeza mikataba mipya wachezajihao, kutokana na viwango vyao bora na mchango mkubwa wanaoendelea kuutoa ndani ya kikosi hicho.Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ (kushoto) akimsainisha mkataba Salum Abubakar 'Sure Boy'Wawili hao wapo muda mrefu Azam FC, Sure Boy akianzia kuichezea Azam FC tokea timu hiyo ilipokuwa madaraja ya chini kabla ya kupanda nayo Ligi Kuu mwaka 2008huku Moris akijiunga na mabingwa hao mwaka 2009 akitokea Mafunzo ya Zanzibar.Wakati huo huo: WINGA wa kushoto wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Joseph Kimwaga, anatarajiwa kuondoka nchini muda wowote kuanzia sasa kuelekea Afrika Kusini kufanyiwa upasuaji wa goti lake la mguu wa kushoto.Kimwaga aliteguka goti lake hilo Alhamisi iliyopita kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu cha TTC cha mkoani Mtwara, wakati Azam FC ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Ndanda ulioisha kwa mabingwa hao kushinda bao 1-0 wikiendi iliyopita.Daktari wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa amesema kwamba awali mchezaji huyo ilibidi afanyiwe kipimo cha MRI lakini ilishindikana kutokana na Kimwaga kuwahi kuwekewa kipande cha madini (metal) huku nyuma alipokuwa amekatika ‘ligament’ ya kati kwenye goti lake hilo.“Kwa hiyo kipimo cha MRI hakikuweza kufanyika, kilichofanyika ni ‘Ultra Sound’, ambayo ilithibitisha kwamba ndani ya goti lake kuna maji mengi na damu nyingi,” alisema.Mwankemwa alisema matibabu yake yapo ya aina mbili, ya kwanza ni kumfanyia upasuaji wa goti ili kuweza kujua tatizo ni nini na kuweza kutibu, ambapo kwa matibabu hayo itamfanya Kimwaga kurejea uwanjani baada ya miezi tisa.“Matibabu kwa njia ya pili ni kumfanyia ‘Arthroscopic’, ambacho ni kipimo maalum kinachofanya mambo mawili kinaweza kugunduatatizo na vilevile kikafanya matibabu, mapendekezo nikwamba ilikuwa ni lazima akafanyiwe kipimo hiki kwani itamch

LWANDAMINAAFIWA NA BABA MZAZINa Prince Akbar, DAR ES SALAAMKOCHA wa Yanga SC, George Lwandamina ameondoka leo Dar es Salaam kwenda kwao, Zambia kwa ajili ya mazishi ya baba yake mzazi, mzee Lwandamina aliyefariki dunia jana baada ya kusumbuliwa na maradhi ya Kiharusi.Akizungumz

Uganda Cranes XI:

Denis Onyango (GK), Nico Wakiro Wadada, Godfrey Walusimbi, Isaac Isinde, Murushid Juuko, Wasswa Hassan Mawanda,Khalid Aucho, Emmanuel Arnold Okwi, Faruku Miya, Derrick Nsibambi,  Joseph Benson Ochaya

Mohamed Salah ( Liverpool )
Mohamed Elneny ( Arsenal )
hao wote wameshindwa kuchomoa goli la *Okwi Wa Simba* 😂😂😂😂😂

KIMATAIFA
Transfer window spending:

Premier League - £1.3bn
La Liga - £500m
Ligue 1 - £580m
Bundesliga - £480m
Serie A - £715m
MZEEEE VENGER HANA LA KUFANYA BAADA YA WACHEZAJ ZAID KUONDOKA.

Riyad Mahrez kukamilisha uhamisho wake, anaelekea wapi?31 Agosti 2017TwitterRiyad Mahrez ameruhusiwa kuondoka katika kambi ya kikosi cha Algeria na kurudi Ulaya ili kukamilisha uhamisho wake hadi klabu mpya kulingana na shirikisho la soka nchini Algeria.Winga huyo wa Leicester aliwasilisha ombi la kutaka kuondoka katika uwanja wa King Power na amehusishwa na vilabu vingi huku Roma ikiwa tayari imewasilisha ombi la kumununua mchezaji huyo mara tatu , ombi la mwisho likiwa lile la dau la £32m.Klabu kama vile Barcelona, Arsenal, Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kutaka kumsajili Mahrez ambaye alikuwa mchezaji bora 2016 baada ya kuwa kiungo muhimu wa timu ya Leicester ilioshinda kombe la ligi ya Uingereza msimu huo.

Getty ImagesLiverpool imekubali kuilipa Arsenal dau la £40m kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na Uingereza Alex Oxlade Chamberlain.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikataa uhamisho wa Chelsea siku ya Jumanne baada ya makubaliano kuafikiwa, atajiunga na Liverpool kwa kandarasi ya miaka mitano ambapo atakuwa akipokea £120,000 kwa wiki.Oxlade Chamberlain ambaye yuko mwaka wake wa mwisho wa kandarasi na Arsenal, alikataa mkataba mpya ambao angekuwa akilipwa £ 180,000 kwa wiki katika uwanja wa Emirates.Ameanzishwa mechi zote nne za Arsenal msimu huu.Kiungo huyo wa kati anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa matibabu kabla ya kuelekea Malta na Uingereza siku ya Alhamisi kabla ya dirisha la uhamisho kukamilika.Oxlade Chamberlain ameichezea klabu hiyo mara 198 tangu ajiunge naye kutoka Southampton mnamo mwezi Agosti 2011, akifunga mabao 20.Kitita hicho kingevunja rekodi ya usajili wa Liverpool, lakini timu hiyo imekubali kumsajili mchezaji wa RB Leipzig Naby Keita msimu ujao kwa kitita cha £48m.Kufikia sasa Liverpool imemsajili winga Mohammed Salah kutoka Roma kwa £34m, beki Andrew Robertson kutoka Hull kwa £8m na mshambuliaji Dominic Solanke baada ya kanda
Tottenham kumnunua Serge Aurier kutoka PSG31 Agosti 2017Getty ImagesTottenham wanatarajiwa kukamilisha ununuzi wa beki wa Paris St-Germain Serge Aurier baadaye leo Alhamisi.Mkataba wa uhamisho wake wa karibu £23m umecheleweshwa na matakwa kuhusu kibali cha kufanyia kazi Uingereza.Changamoto zilizuka kwa sababu mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Ivory Coast mwenye miaka 24 ana hukumu iliyoahirishwa kwa sababu ya kosa la kumshambulia afisa wa polisi mjini Paris mwaka jana.Hata hivyo, taarifa zinasema tatizo hilo limetatuliwa na Spurs wanaweza kuendelea na utaratibu wa kumchukua beki huyo wa kulia.Atakuwa mchezaji wa nne kununuliwa na Spurs majira ya sasa ya joto, baada ya beki Juan Foyth, golikipa Paulo Gazzaniga na beki wa kati Davinson Sanchez aliyenunuliwa kwa rekodi ya klabu hiyo ya £42.

Swansea wana matumaini ya kumpata Renato Sanches31 Agosti 2017Getty ImagesSwansea City wana matumaini makubwa ya kumnunua kiungo wa kati mshambuliaji wa Bayern Munich RenatoSanches kwa mkopo wa msimu mmoja.Mreno huyo wa miaka 20 alijiunga na Bayern kutoka Benfica kwa €35m mweziMei mwaka 2016.Sanches, ambaye alichezea mabingwa hao wa Ujerumani mechi 25 msimu uliopita, alikuwa pia kwenye kikosi cha Ureno kilichoshinda Euro 2016.Mkufunzi mkuu wa Swansea Paul Clement alifanya kazi na Sanches alipokuwa meneja msaidizi Bayern.

Mashindano ya kimataifa ya olimpik hal tata baada yawaandaaji korea kusin kutokuw na mashabik asilimia 25 tuu ya tiket zimenunuliwa wakat miaka ya nyuma kipind kama iki tiket huwa zimeeisha..

Tennis.
Dunian wacheza Tunisia wapo wachache sana ivyooo bhas tuzid jitokeza katika mchezo
http://www.goal.com/sw/habari/manchester-united-yatoa-50m-kwa-ajili-ya-marco-asensio/5dvb2qc65tgc1u6xr6cwo9rik

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: