LUDEWA KUJITANGAZA KITAIFA KUPITIA SOKA.

Huku ligi ya mkoa  wa Njombe kwa upande wa akina Dada  ikitarajiwa kuhitimishwa hii Leo kwa mchezo katika ya Makambako na mapinduzi queens ya ludewa.

Wadau wa michezo mkoani Njombe waombwa kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa saba saba mkoani hapo  ili kushuhudia Soka safi kutoka  kwa wadada wa MKOA huuuu.

Ikumbukwe kuwa mshindi wa MKOA wa njombe ndio atapata nafasi ya kushiriki ligi kuu Tanzania kwa akina Dada linalodhaminiwa na Azam TV.

Timu ya ludewa ambayo  imecheza michezo miwili na yote kufanya vizur wananafas nzur  Zaidi ya kusonga mbele.

Katika mechi ya kwanza Ludewa walishindi goli 10 kwa sifur dhidi ya WANGING'OMBE na ushindi wa goli 3-0 dhid ya makete.

Leo wanaitimisha na Makambako ambao nao wana  pointi 6 ikiwa ni tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Wadau wa michezo na wanaludewa kwa ujumla wanaombwa kujitokeza kuichangia TIM yao  pendwa ya mapinduzi Queen katika hatua  hii ya kuvuka kuelekea ngazi ya taifa katika Soka.

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: