Ally Mustafa ‘Barthez’ baada ya kujiunga Singida Utd

Golikipa wa zamani wa Dar es Salaam Young Africans Ally Mustafa ‘Barthez’ leo July 19, 2017 ametangazwa rasmi kujiunga na club ya Singida United kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili.
Ally Mustafa ‘Barthez’
Ally Mustafa anajiunga Singida United ambapo atakuwa katika ‘vita’ ya namba na golikipa wa sasa wa club hiyo Said Lubawa ambapo baada ya usajili huo Mkurugenzi wa Singida United Festo Richard Sanga alithibitisha kubakiwa na nafasi moja ya usajili.
>>>”Kwangu mimi kwanza naona hakuna utofauti kati ya timu kubwa na Singida United. Mimi naona kawaida japo kuna jina kubwa na jina dogo kwa sababu Singida United imepanda Daraja msimu huu lakini Yanga ipo Ligi Kuu muda mrefu na timu kubwa.” – Barthez.


TAZAMA VIEDO HAPA






Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: