Wasichana: Yaheshimuni Maungo yenu


Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: