Mtanzania Alfonce Simbu alivyoiandika historia ya Olimpiki Brazil


MICHEZO


Baada ya wenyeji wa michuano ya Olympic Brazil kushinda medali ya dhahabu kwa mara ya kwanza katika historia kwa mchezo wa soka, leo August 21 2016 mtanzaniaAlphonce Simbu ameingia kwenye headlines.
Mtanzania Alphonce Simbu ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kumaliza mbio ndefu yaani marathon kwa kushika nafasi ya tano kati ya washiriki wa nchi 200 walioshiriki mbio hizo, Alphonce hajafanikiwa kushinda medali ya dhahabu ila ndio mtanzania aliyefanya vizuri katika riadha kwenye mashindano ya Rio2016 Olympic.
IMG_5630 (1024x683)
Mwanariadha Alphonce Felix

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: