MADA YA LEO NI MIKAO YA KUJAMIIANA NA LADHA ZAKE! #2.


MTOA MADA; IBRAHIM MARIJANI GAMA.
WALENGWA WANAWAKE NA WANAUME WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 18.
.
A/aleykum.
Nimatumaini yangu mmeshinda salama usalimini wapenzi na wadau wa Ndani na Nje Ya Kuta Nne. Kama kuna mgonjwa, Mungu atampa shifaa inshaallaah.
Pia nawashukuru sana kwa kusoma page hii, ni matarajio yangu mtaelimika katika nyanja ambazo mlikuwa mmezisahau, au mlikuwa hamzijui kama zinaweza kufanywa ndani ya Kuta Nne na mwenza wako.
Naomba nitoe dukuduku langu la moyoni, kwenu wadau wangu ambao mmenishangaza sana! Page hii inasomwa na watu hadi 3000! Ila watu wanao like baada ya kusoma wanakuwa ni watu wasiofika hata 70! Watu wanao Comment hawazidi 80! Kinyume chake wapo baadhi ya wadau wanaingia inbox na kunipongeza kwa mada nzuri zinazowafundisha na kuwajengea ndoa zao! Huyo anaesema akiwa in box hajawahi ku like wala ku comment mada hizo! Nimewauliza kwa nn hamcomment, hata kulike tu? Wanasema Page hii hawawezi kulike, kwani inatisha sana mambo yake! Hii ndiyo ajabu niionayo! Yaani mimi naandika na kutuma bure ili wadau wangu muelimike, kisha mnasifia halafu mnasema hii page inatisha mno! Na kwamba wakionekana wamelike, au kucomment wana jamaa zao wanaosoma humu hawatawaelewa! Utakuwa ugomvi mkubwa kwao! Kwa nini msiwaambie na wenza wenu kuhusu page hii na wao wakasoma?! Hamuoni watakaposoma mtayafanyia kazi pamoja na kurahisisha mambo ya Ndani Na Nje Ya Kuta Nne?
Siyo lengo langu kuchukua nafasi kubwa kuelezea hayo, ila ni masikitiko mnanipa, kwani hamnitii moyo hata kidogo! Na kama mwendo utakuwa ni huu, naweza kuacha kabisa kutoa elimu hii, kwani nyie siwatozi chochote, hivyo sitokuwa na lawama zozote nitakapoamua kuacha kuandika humu badala yake nikaendelea na mambo mengine na nyie mbaki na kuogopa kwenu, labda kupitia huo uoga mnaweza mkapata elimu ya mambo haya kwa wingi!
Baada ya kusema hayo sasa nirudi katika maudhui. Jana nilizielezea Style za Sexy na Test zake. Leo nina endeleza kuwapa mikao tofauti na burudani zipatikanazo katika mikao hiyo!
Kulala Kifudi fudi (KOBE STYLE) Mkao huu mwanamke asilaliwe kama godoro, badala yake mwanaume utakuwa juu, ukiwa umeweka egemeo kubwa katika makalio yake, huku nyoka akiwa shimoni mwake. Mkao huu unawapa wanasexy uhuru wakuoneshana nyonga zao zinavyokwenda sambamba, ni bora hivi viuno mkiwa mnapishana huyu akienda kulia huyu aende kushoto, kwa mwenendo huo mtaibua burudani ya hali ya juu sana! Mwanamme akiwa anachelewa kukojoa, mwanamke nakushauri uwe unayabana makalio wakati jamama anatoka na uyawachie wakati jamaa anaingia kwa mwenendo huo mwanamme huyo hatachelewa kukojoa! Na wewe mwanamme ili kwa mkao huo umkojoze mwanamke wako, fanya kushuka chini ukimgusa kama unaemlalia, angalia egemeo lisiwe kubwa sana. Kisha peleka mikono yako katika matiti yake, chezea/ pikicha chuchu taratibu ila usipikiche kwa nguvu utaziumiza zitamuuma utamrusha stimu! Na kama mpenzi wako hana nyege za matiti basi peleka mkono wako katika kinembe chake, chezea hicho kinembe! Na kama mpenzi wako hana hicho kinembe watu na mila zao washachukua mali yao! Basi tia ulimi wako masikioni mwake! Chezea nywele zake, tia kabali laini ya mapenzi shingoni mwake. Vyote hivyo akiwa mwanamke bado hajakojoa, fanya baba lao. Mchezee ‘Vutu’ Namaanisha Mkundu. Weka mate au mafuta kisha kwa kidole gumba anza kuperuzi taratibu! Utamsikia hapo anakwambia “Toa kidole hicho dear!” Usitoe wewe kwani kuna wanawake baadhi yao, lile akukatazalo ndiyo analomaanisha ulifanye! Sasa yote hayo umefanya kisha mwanamke hajakojoa, wakati umeyafanya hayo na uume upo ukeni, basi mwambie aende chooni akakojoe mkojo utakuwa umembana huyo! (Huu siyo mkojo wa shahawa)
Mkao wa Nyonga (NAMBA SABA) Mkao huu mwanamke anatakiwa ajipinde ashike kitu, kama ni ukuta, kama ni kabati, kama ni dirisha ilimradi kilichokuwa karibu yake hadi anachora namba saba! Mkao huu hutumika sana bafuni, wapenzi wanapooga pamoja mkiwa mshajipaka sabuni kisha mkakumbatiana mnakuwa mnateleza, inaleta burudani kubwa! Mkao huu mwanamke atakuonesha nyonga yake, kwa kila styele, hapo atacheza kasi, hapo atacheza taratibu, atakwenda juu chini huku uume ukiwa umesimama sawasawa atakua anapeleka kila anapotaka ufike! Na wewe mwanaume unatakiwa ucheze na hisia za mwenzako. Usicheze na hisia zako! Kwani watu wanaocheza na hisia zao, ndiyo wale wanaokojoa kwa viuno vitatu tu! Kisha uume wenyewe wa kupepea, unaanza kumpa shida mwanamke uliotibua hisia zake! Kwani mwanamke anahitaji uume uliosimama sawasawa ili nae afike katika kilele cha mafanikio. Kwa kuwa nguvu huna tena hatimae unaamua kumtia vidole na kumrushia stim mwenza wako! Uume ukisimama sawasawa huwa na joto jingi kuliko kidole, pili ulaini wa uume siyo sawa na wa kidole! Mahala unapofika uume wakati mwengine kidole hakiwezi kufika! Msingi mkubwa wa kuchelewa kufika kileleni haraka kwa mwanamme, ni kuacha kabisa kujisikilizia yeye, badala yake amsikilizie mwenzake anamrizisha kiasi gani? (Wewe mwanaume usiokuwa na nguvu ya kiume, hebu nitafute inbox turekebishe hilo tatizo urejeshe heshima nyumbani kwako!)
Kulala ubavu wote mkiangalia sehemu moja (USINIUMIZIE MWANA) Mkao huu mara nyingi hukaliwa na wanawake wanapokuwa wajawazito. Sasa kwa mkao huo tumbo lake linakuwa linanusurika kulaliwa na kukandamizwa! Mkao huu wote mnatizama sehemu moja mwanamme anakuwa nyuma ya mwanamke, ameingiza uume wake huku anachezea tumbo la mpenzi wake! Na kama mtoto aliekuwa tumboni ni mjanja, nyie wakati mna sexy yeye tumboni atakuwa anapiga mateke kwa furaha!!! Mkao huu ni wakivivu, kwani mara nyingi pia hutumiwa na watu wenye umri mkubwa, kama hamna usingizi kaeni mkao huu, mlalie ubavu wa kushoto, kisha mfanye sexy mtakojoa haraka sana! Mtachoka sana na usingizi utakuja faster! Upande wa kushoto ndipo kwenye moyo, hivyo mawasiliano husafirishwa haraka sana katika ubongo.
Mkao wa kisusio (DONDOLA STYLE) Mkao huu mwanamke anaweka mito tumboni, kama miwili au mito mitatu, akiwa amelala kifulifuli/Kifudifudi makalio yanakuwa juu, bwana umesusiwa mali zote amri unayo wewe! Mwanamme hapo anaingia akisimama wima kisha atachomeka uume wake akiwa miguu yake ameipanua huku na huko mikono kiunoni anaingia akitoka. Hapo kama mwanamke anamakalio makubwa ndizo sehemu za kupiga makofi kwa matako! Ama yule ambae hakujaaliwa makalio makubwa, mkao huo hapo awe anabana na kuachia! Mkao huo unasisimua sana kwani utazigusa njia mbili kwa wakati mmoja! Njia ya mbele na ya nyuma! Mwanamme ashushe mkono mmoja ukeni acheze na kinembe, utampa burudani kubwa mweziyo!
Miguu mabegani (JUDO STYLE) Mkao huu mwanamke ili aufanye vizuri aufanye akiwa katika kiti /SOFA. Atainua miguu yake na kuiweka katika mabega ya mwanaume, kama mtu anaepigwa pigo la Judo akiwa anadondoshwa chini! Pia unaweza kufanyia kitandani, ukiwa katika pembe tatu ya kitanda, mwanamme anakuwa amesimama miguu yake ikiwa chini, anampata vizuri mwanamke! Mkao huo kama mwanaume ana uume mrefu sana, ni hatari kwa mwanamke mwenye kina kifupi! Kwani mwanaume atakuwa akitaka kuuingiza hadi mwisho, wakati kuingizwapo kushagota tayari! Kinachotoke ni maumivu na vichomi vya ndani ya uke! Kunaweza kusababisha kuta za uke ndani kuvimba, kusogeza mfuko wa uzazi, na kumtia chango mwenzio! Ni bora kila mkao uwe unatambua na kina cha mwenzako! Mwanaume rahisi kujulikana urefu na ufupi wa maumbile yake kuliko mwanamke! Mwanamke utajua kwa kutia uume au mkono! Ndiyo mkono unaingia katika uke wa mwanamke yeyote duniani aliekuwa kashaanza mahusiano! Ila ni lazima umuandae sana mwanamke awive, ndipo utaweza kuingiza kwanza vidode vinne kisha na cha tano pia kitaingia, na hatimae mkono utapita hadi kwenye kiganja na zaidi! Kwa nje ukitaka kumjua mtu maumbile yake hata kabla hajakuvulia nguo zake, mtazame kidole chake cha kati cha mkononi hadi kiganjani kwake, hiyo ndiyo size ya urefu aidha wa uume wake au wa uke wake!
Wadau wangu mikao na ladha zake ipo mingi sana! Hapo sijataja mkao wa ubavu mkatazamana! Na mengine kadhaa, lakini kwa leo naomba niishie hapa. Kwani ubora wa maneno yawe machache yanayoeleweka!
Nawatakia siku njema, asanteni sana kwa kusoma.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: