Kuelekea Simba Day, Wanachama wa klabu ya Simba wameonyesha mabadiliko baada ya leo kuungana na kufanya usafi katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Simba Day ni keshokutwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Wanachama hao waliongozwa na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange maarufu kama Kaburu.
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment