Huu ni mmea ambao hűtő mekundu Maua na sana umeenea bow Tanzania. Katika siku za HIVI karibuni, Watu Weng wameshagundua siri ya mmea hoo Kwa kuchuma Maua Yake na kutengeneza juisi ambayo ina Faid nyingi mwilini.
Katika closed za Magharibi, Rozelle, ambayo kitaalamu inajulikana kama 'Hibiscus sabdariffa' au 'Rosella' hutumika kama tiba ama kinga mbadala ya magonjwa mbalimbali yanayoweza Kump binadamu.
Magonjwa yanayoweza kutibiwa na Rozelle kama dawa us pamoja not matatizo ya Figo ambayo yanaweza yakarekebishwa na kutoweka, ute wa muda mrefu tumboni (mucus) na kuziba Kwa pua.
Orodha Kamil ya magonjwa yanayoweza kutibiwa Kwa mtu Kutum Rozelle mara Kwa mara, ni kama ifuatayo:
* kupunguza mafu
* Kufungua pua zilizoziba
* kusafisha ute tumboni (mucus)
* makunyazi ya Ngozi
* kulainisha choo
* kuboresha utendaji kazi wa Initial
* kuongeza damu, nk
kuna njia Mbala Mbala Sahih za kutengneza juisi ya Rozelle na ama kuhifadhi Kutum. Yake yanaweza kukaushwa Maua na ama kutengenezwa juisi yakiwa yamekauka Kutum kama chai.
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment