Matarajio Mapya Kwa Wana Ccm



Leo ikiwa ndo siku   Rais John Magufuli ata pitishwa kuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, wenyeviti na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wamemtaka kufanya mabadiliko makubwa ya kukisaficha chama.

Kikao hicho jana kilipitisha jina la Rais Magufuli kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika leo, kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho, Christopher ole Sendeka.

Makada walioulizwa na Mwananchi swali la ‘Wanataka Magufuli aifanyie nini CCM’, wengi wamemtaka aondoe makundi yaliyopo kwenye chama, huku baadhi wakitaka akisafishe kwa kushughulikia mafisadi na watendaj



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: