Picha,Sauti Sol wapata mualiko Ikulu ya Ghana na kukutana na rais John Dramani.




Sauti-Sol-1
Boy Band ya Kenya Sauti Sol wamepata mualiko mkubwa hivi karibuni baada ya kufika nchini Ghana na kwenda moja kwa moja kwenye Ikulu ya Ghana.
Sauti Sol wamekutana na rais wa Ghana Dr. John Dramani baada ya kualikwa kwenye sherehe za uhuru wa Ghana.
Baada ya kufanikiwa kuacha matumizi ya dawa za kulevya Keko atangaza rasmi kuacha muziki.
Sauti sol 2 Sauti sol


Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: