Kanye West anza kufanya kazi na meneja wa Justin Bieber ‘Scooter Braun’.




scotter-kanye
Kanye West amekubali mafanikio ya pop staa Justin Bieber mpaka kupelekea kuomba collabo na meneja wake.
Kanye ameanza kufanya kazi na ‘Scooter Braun’ ambaye atashirikiana na meneja wa Kanye ‘Izzy Zivkovic’ kwenye album yake mpya ya ‘The Life of Pablo’ na album ijayo ya ‘Turbo Grafx 16’ pamoja na Yezzy Collection.
Kanye West ni shabiki mkubwa wa Justin Bieber na hivi karibuni alisema wimbo wake bora wa mwaka 2015 ulikuwa ‘What Do You Mean’ wa Justin

Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: