MKE: mume wangu naomba tuongee
MUME: ongea
MKE: ni kuhusu huyu housegirl wetu
MUME: nimatatizo yako hayanihusu
MKE: amesema ana mimba
MUME: nimatatizo yake hayatuhusu
MKE: amesema ni niyako
MUME: nimatatizo yangu hayakuhusu
MKE: majirani wanaongea
MUME: nimatatizo yao hayatuhusu…
Vipi marafiki wazima? Au nimatatizo yanu hayanihusu???
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment