Mzee Majuto Aibukia Kwenye Bongo Fleva




Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’
MAJUTO22
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia Dady kuwa ana kipaji cha uimbaji, alifunguka kuwa watu wengi hawajui tu lakini ana vipaji vingi ikiwemo uimbaji kama ilivyo kwenye uigizaji na utunzi wa sinem



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: