Hii Ndio Collabo MPYA Ambayo Diamond Platnumz Ameshirikishwa !


akotheekenya-ft-diamond-playnumz-
Msanii Akothee kutoka Kenya wiki hii anaachia Collabo ambayo amemshirikisha Diamond Platnumz kutoka hapa Tanzania.
Katika Mtandao wa Instagram Akothee ameandika “Feel it, it’s finally here! Brand new single by Kenyan musical sensation Akothee titled Sweet Love , featuring The Tanzanian Music star , Diamond Platnumz debuts Friday , 15 January 2016.stay logged in for details, Don’t miss it @diamondplatnumz @i_am_godfather @mikedube01“.
Collabo hii inategemewa kutoka tarehe 15 mwezi huu, ungana nami hapahapa kuwa wakwanza kuitazama siku hiyo




Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: