SECONDARY SCHOOL
Sehemu Ya 14
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
"hapana boss hatuwezi mzarau boss"
"sasa mbona hamjui?"
"kwa kwa......kwa ...kwa kwani ni yupi boss?"
"si huyo nilieongea nae kupitia simu yako"
"yesu wangu"
Sesi aliiponya hadi simu na kuidondosha chini huku akiwa kabaki mdomo wazi na kutoa macho
Kevin akamuuliza sesi
"sesi vp nani ulikua unaongea nae?"
"boss"
"kasemaje kwani?"
"boss wako?"
"nani boss wangu?"
Akanyoosha kidole kuashiria ni mimi
"kivipi sesi?"
"ndio mtoto wa boss huyo"
"whaaat?"
SONGA NAYOOOO
Kevin na afande walikua wakitetemeka ile mbaya coz hata mimi naweza kufukuza mtu tena bila wasi wasi.
"boss? chukua pesa yako.. afu naomba unisameee coz ilikua ni utani tu"
Mara na afande kaja na elfu kumi yangu
"boss naomba unisamee boss na ile pesa yako hii hapa. nisameee baba maana nategemewa baba"
Mara na sesi kaja yena karibia apige goti jabisa maaba ndio walinicheka pale mwanzo nilipowaambia mimi ni darasa la saba...
"boss tafadhali sana unisameee mimi coz nilikua nina shida na pesa kidogo ila sio tabia yangu"
Waliniomba msamaha woote na kunirudishia pesa zangu nilizowahonga kwa ajili ya kazi. na toka muda huo wanijue sikutoa neno lolote lile. Bali nilimuamuru tu kevin kua
"kevin?"
"yess boss?"
"wacheki vyeti vyao then uwapige picha hapa hapa kisha uwape kazi"
"sawa boss..... asee njoeni huku jamani"
Basi wale jamaa walipotoka walinishukuru sana kwa kuwaseidia kwa kiasi kikubwa sana
"ok sasa msiondoke kwanza coz kuna kikao naitisha ambacho kitawausu hata nyinyi ambao ni wageni"
"sawa boss"
Ilipofika mida ya saa tisa hivi niliitisha kikao katika rumu maalum kwa ajili ya vikao
"kevin?"
"yes boss?"
"itisha kikao mara moja afu nataka nione wafanyakazi wote mpaka wa nje"
"sawa boss?"
Nilielekea zangu kwenye ofisi yangu na kuendelea kupokea baadhi ya oda zilizokua zikija...
Mpaka walipokusabywa wote kisha nikaja kuitwa
"boss tayari wanakusubiria"
"ok nakuja"
Niliweka vitu sawa kisha nikaelekea kikaoni kwa maelekezo mapya ya kiofisi
Nilifika katika rum ya kikao ambapo niliwakuta wafanyakazi wasiopungua 60 "Kaaaa mbona wafanyakazi wengi hivi jamani?"
Nilijiuliza mwenyewe huku nikikaa kwenye kiti kikuu.
"za mchana jamani?"
Nilianza kuwasalimia kwa staili hio kisha wakaitikia kwa wote
"nzuri boss"
"ok.. kwanza kabisa nahita kuwajua meneja mwajiri na mkurugenzi wa kampuni hii na mtunza hazina na au kiongozi yeyote aliepewa cheo humu ndani asimame"
Walisimama wote ndio nikaweza kuwajua kwa majina hadi sura,
"ok mnaweza kukaa but wewe meneja muajiri? hiii kampuni uliambiwa kua inaajiri watu kwa rushwa?"
"hapana boss"
"ila?"
"aaaa nilipitiwa tu coz nina matatizo hivyo nimeona nijaribu hivyo ili nitatue shida zangu boss"
"ok we unalipwa pesa ngapi?"
"mmmm mimi?"
"sasa naongea na nani?"
"nalipwa laki 5 boss"
"Astakafiru lah, yaani laki 5 afu bado unakula rushwa kweli?"
"boss? nilipitiwa tuuu"
Mara wafanyakazi wote wakasema kua
"hapana huyo ndio tabia yake"
"mi najua ni tabia yake.... ok na wewe afande? hii kampuni ipo spesho kwa kuingiza wafanyakaziiiiiii au ipo spesho kwa kuingiza wateja na wenye shida?"
"boss ni kwa kuingiza wote wote"
"ok je wewe ulipokuja kuomba kazi ya ulinzi kuna mtu alikuzuia?"
"hapana boss"
"kwanini umenizuia mpaka nikakupa pesa?"
"nisamee boss"
"secretary? unalipwa pesa ngapi?"
"nalipwa laki 3 boss"
"laki tatu ulishindwa kunipa dakika moja ya kuongea na simu yako eti kisa sikukupa hela ya salio kweli"
"nisamee boss ni tamaa tu"
"ok kuna yule dada alinicheka sana muda ule niliposema natafuta kazi ivi ni yupi?"
"ni mimi boss"
"unaitwa nani vile?"
"naitwa ashura"
"ok ulinicheka pale mapokezi ni kwanini umefanya hivyo?"
"nisamee boss"
"sasa sikieni kwa wote..... kuanzia leo hiiii sitaki kusikia wala kuona rushwa aina yeyote humu ndani... Afu humu ndani muna dharau wote sasa sikieni... kuanzia leo sitaki luona unamdharau mgeni wa aina yeyote ile. maana mimi najua nimedharauliwa hapo mpaka basi yani....
Sasa nasema hivi kampuni hiii kama kulikua na onyo na makalipio ndio ufukuzwe kazi, sasa hivi haipo tena yaani ukionyesha dalili kati ya hizo ni kufukuzwa kazi moja kwa moja yani hakuna bodi ya kumfikiria mtu kwa ujinga wake... tumeelewana?"
"ndio boss"
"wala musiwe na wasiwasi wa kua nitawafukuza kazi leo bali hilo ni onyo la mwisho.... coz najua wapo ambao mnategemewa na familia zenu hivyo kwa kosa hili nilioliona kwa leo hii? mi naomba nilimezeee tu.... ila jueni kua dharau zenu aziwafikishi mahari coz unaweza ukamdhara mtu aliekuja hapa. afu mwisho wa siku umefukuzwa kazi hapa na ukaenda kuomba kazi kwake..... mi sijui kitakachoendelea ila sidhani kama utapata kazi hapo... hivyo acheni kabisa dharau zenu hizo sio nzuri sawa?"
"sawa boss"
"afu we afande? pale getini upo spesho kwa ajili ya kufungulia watu na magari yao, ila hukuambiwa uzuie mtu... kama mtu anatafuta kazi mruusu aje akose mwenyewe ila sio umzuie wewe...naomba hio tabia ife kuanzia leo"
"sawa boss"
"secretary na wafanyakazi wote acheni dharau zenu hizo....afu kevin naomba mtu akose kazi kwa vigezo ila sio pesa..afu hivyo vitu vyako unavyowatuma sijui barua ya baloz au mtendaji hio haipogo kwenye kampuni hiii bali ni paspot saizi 3 na barua ya maombi ya kazi tuuu. tena paspot zenyewe unaweza kuwapiga hapa hapa coz kamera ipo pale na ipo kwa ajili ya kazi hio.. sawaa?"
"sawa boss"
"ok afu swala lingine? mimi naitwa sharbiny rashidy ila naomba mniite sheby inatosha but hilo la boss silitaki sawa?"
"sawa boss"
"nini??? mnarudia tena?"
"tusamee tu boss coz tunashindwa kukuita hilo jina"
"ok poa vovote vile nyie niiteni tu"
"asante boss"
"ok nadhani kikao kimeisha ila kuna mtu ana swali lolote?"
"hapana boss?"
"ok je? kuna kazi nyingi za kufanya humu ndani?"
Aliinuka meneja na kunijibu kua
"aaahh ni kweli kazi zipo ila zilisitishwa kwakua kuna sehemu zingine ni lazima boss apitie hivyo kazi kubwa ipo kwako boss"
"ok sasa nikusanyieni kazi zote niwekeeni pale mezani kwangu kisha leo naomba mfurahie kwa kula nyama hapo nje sawa?"
"ndioooooooooo"
"ok swala ni hili kwanza nikusanyieni hizo kazi..... afu vijana wawili wakachukue mbuzi watatu wakuchoma Afu vijana wengine wakachukue vinywaji aina yeyote ile kasoro kilevi.... yaani nikiona pombe hapo nje nazipasua na alieleta ajiandae kwa kuacha kazi"
"sawa boss asante kwa ofaa"
Basi kikao kiliisha na wafanyakazi wote walitoka nje ambapo ndani ya geti la kampuni hii kuna uwanja mzuri wa paking za magari hivyo hapo hapo ndipo wanapojipongeza..
Baada ya kama nusu saa hivi sherehe ilianza na watu walikua wakila nyama kwa wingi... wakati huo mimi nipo afisini naendelea kusaini baadhi ya mikataba na oda mbali mbali za nje ya nchi... Nilikua nipo bize sana tena hata zile kelele zao huko nje zilikua zikiniboa sana tu... nilifunga mlango ili nisizisikie hizo sauti zao. Nilishangaa mlango ukigongwa na sikua nahitaji kuona mtu yeyote pia niliwaambia wasinisumbue
Nilimruusu aingie ila nilishangaa kumuona sesi ndio alikua akija.
"sesi?"
"abee boss?"
"si nilishawatangazia kua sihitaji usumbufu?"
"samaani boss hii ni private me & u"
"private???? private gani?"
"tukae kwanza basi boss"
"ok sema, kuna shida yeyote huko nje?"
"hapana"
"au vinywaji vimepungua? basi shika pesa kaongeze"
"No No No vinywaji na nyama vyote vipo"
"sasa tatizo ni nini?"
"hapana but naomba kuuliza kitu"
"kitu gani?"
"mbona simuoni hata boss wa kike"
"boss wenu wa kike anaumwa"
"simaanish maadam sonia"
"bali unamaanisha nini?"
"namaanisha wifi yetu"
"wifi yenu kwa nani?"
"bosiiiiiii kwani we huna mpenz?"
"sesi? ebu naomba utoke sawa?"
"bosiii kwani ni vibaya kuuliza?"
"afu nani kakuambia unywe pombe? si nimesema pombe ni marufuku???"
"nimenunua mwenyewe na wala hakuna alieleta"
"basi kama una maswali zaidi naomba uje kesho kwa maadam sonia coz naisi umelewa sesi"
Unajua mimi ni kijana ambae sipendi kuamsha hasira mapema kutokana na udhaifu wangu binafsi
"bosii haya maswali yangu yanakuusu wewe"
"haya uliza chapu chapu niendelee na kazi"
"boss? unajua mi ni msichana mdogo tu afu nikikuangalia kama vile tunaendana boss plz kama huna mpnz naomba nizibe pengo hilo"
"afu we ni mkubwa kwangu nikajua utanishauri cha maana kumbe ndio kwanza unajitongozesha kwangu?"
"boss? unajua wewe ni hensamu na sio mimi hata wakina ashura wana mpango wa kuja ofisini kwako ilimladi tu watembee na wewe"
"kumbe hii kampuni ni chafu kiasi hiki?"
"wala tu kampuni sio chafu ila uchafu umeuleta wewe"
"kwanini?"
"wasichana wote humu ndani wameshakutamani kimapenzi na sio kwa pesa zenu"
"basi njoo kesho"
"sitaki na ukikataa napiga kelele unanibaka"
"haaaaaa sesi? ivi unaweza kuniambia kitu kama hicho?"
Mara akajidondsha chini huku akigala gala mpaka kile kisket chake kikapanda juuuu
Sasa nikawaza nitantoa kwa janja gani? maana inaonekana keshalewa tayari
Nikaona ngoja nimdanganye atoke ili nifunge mlango
"sasa sesi?"
"abee boss?"
"nimekubali ila mi siwezi kusex na wewe coz unanuka pombe afu kikwapa kinatema hicho...au kama vp kaoge afu uje tena"
"boss unasema kweli??"
"ndio tena wahi sasa hivi uje"
"bosiiii unasema kweli au unatania?"
"hata mi mwenyewe nimekupenda ghafla tu yani"
"ngoja basi nikaoge nije sawa?"
"sawa"
Alipotoka tu nikafunga mlango na kurudi mezani kisha nikaendelea na kazi huku nikiwa na mawazo kibao juu ya jambo hili....
Sasa sijakaa vizuri mara meseji imeingia kwenye simu ya sesi
"Heeee kaacha simu?"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijiuliza kua ngoja nikate hii meseji kisha nimpigie mama ili nimuambie tabia ya wafanyakazi wake... sasa ile meseji ilitumwa na BOSS yaani jina liliotuma hio meseji ilikua limeandikwa BOSS... ila sikua na shauku ya kuisoma kwasababu hainiusu.. lakini kwakua ile simu ya sesi siwezi kuitumia. nilijikuta nimeifungua madala ya kukata. Nilitamani nisiisome ila nilishangazwa kwa kusoma herufi za mwazo zilizoniusu mimi.... Heeee ilibidi nianze kufungua inbox upya na kuanza kufatilia mwanzo wao wa kutumiana meseji mpaka wakafikia hio meseji ya mwisho...... Asee sikuamini macho yangu kwa kusoma hizi meseji jinsi zilivyo na sii mwingine bali alikua ni mama yangu SONIA ndio waliokua wakitumiana meseji na sesi... walianza hivi
BOSS : "sesi upo wapi saa hii?"
SESI : "nipo kazini boss"
BOSS : "una kazi gani hapo?"
SESI : "wala tu nipo nje leo mwanao katupa ofa ya kula nyama"
BOSS :"ok na yeye yupo wapi?"
SESI :"yupo ofisini kwake anaendelea kutia saini baadhi ya mikataba na oda mbali mbali"
KUMBUKA HIZI NI MESEJI NA SIO KUONGEA KWA SIMU
BOSS :"ok sasa nataka nikupe kazi maalum kwa ajili yako"
SESI :"kazi gani boss?"
BOSS :"naomba ukamtongoze mwanangu kule kule ndani"
SESI :"what?? hapana siwezi boss"
BOSS :"kwanini sesi? plz usiniangushe na pia nitakulipa donge nono"
SESI :"hapana boss coz yule anaonekana ni mdogo kwangu boss"
BOSS :"wala tu mbona mnalingana tu na pia huenda ukawa umempita mwaka mmoja au miwili tu"
SESI :"boss mi siwezi kujidhalilisha kwakweli"
BOSS :"sesi nitakupa milioni 2 kwa kufanya kazi hio tu"
SESI :yesu wangu boss? sasa akikubali je?"
BOSS :"akikubali we sex nae tu hapo hapo afu unipe taarifa sawa?"
SESI :"mmmhh boss mtihani wako mbona mgumu?"
BOSS :"basi nakuongezea milioni moja"
SESI :"boss? pesa sio tatizo"
BOSS :"sesi? unajua wewe ndio mrembo na mwenye umbo la kuvutia hivyo hebu nenda na ujifanye umelewa"
SESI :"boss mi nitafukuzwa kazi boss"
BOSS :"akikufukuza mimi nitakuja kukurudisha"
SESI :"boss? nihakikishie usalama wangu"
BOSS :"sesi? kazi bado utajua nayo na pesa juuu ila ukishindwa nitakupa laki 5 za kujaribu tu"
SESI :"ok nipe mwongozo mwanao anapendelea nini?"
BOSS :"kwakweli mwanangu hana starehe yeyote ile anayoipenda.... na ni mtu anaejieshim sana hivyo ukiona anakataa fanya kama vile unataka kumdhalilisha kama vile anataka kukubaka.... kwani hua hapendi kuebika kwa watu"
SESI :"sasa kama hapendi starehe yeyote? je? mimi nitawezaje jamani boss?!
BOSS :"sasa si ndio utumie usichana wako mpaka usex nae kabisaaa"
SESI :"ok ngoja nikajaribu basi"
BOSS :"ok nakutakia mafanikio mema"
Sasa baada ya hapo ndio sesi akaja kwangu na kuanza kuongea na mimi utumbo utumbo wake huo. Sasa BOSS baada ya kuona SESI anachelewa kurudisha majibu kua kafanikiwa au bado? sasa BOSS ndio akatuma hii meseji ambayo hata mimi mwenyewe sikuamini macho yangu kama mama yangu mzazi anaweza kuandika meseji kama hio... Eti aliandika hivi
USIKOSE KUFATILIA SEHEMU YA 15 HAPO KESHO MIDA KAMA HIIII
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
0 comments:
Post a Comment