Jamaa atoa kituko cha mwaka mahakamani
Kiongozi
wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa
hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kupanda
gari..
Kisa ?
Kiongozi huyo wa dhehebu la Jain alisema kuwa hawezi kupanda gari kwani ni inakiuka imani yake kali na kanuni za dini yake.
Bwana
Acharya Kirti Yashurishwarji Maharaj anasema kuwa kwa sasa yuko katika
jimbo la Kolkata,zaidi ya kilomita 2,000 kutoka mahakama hiyo iliyoko
katika mji wa Ahmedabad Magharibi mwa India.
Yashurishwarji
Maharaj anasema iliaupokee uongozi wake wa kidini ilimbidi kuukata
ulimwengu na malimwengu kwa hivyo hawezi kushiriki mambo ya ulimwengu
ikiwemo magari.
Mahakama hiyo hata hivyo imekatalia mbali ombi lake la kutaka kesi hiyo iahirishwe.
Bwana
Acharya Kirti Yashurishwarji Maharaj anakabiliwa na tuhuma za kughushi
vyeti rasmi vya serikali vilivyomruhusu kuwashawishi watoto wa kihindi
kujiunga na itikadi hiyo ya Jain.
Ushawishi wa watoto kujiunga na madhehebu yeyote yanakwenda kinyume cha sheria za kuwalinda watoto nchini India.
Kiongozi wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kupanda gari.. Kisa ? Kiongozi huyo wa dhehebu la Jain alisema kuwa hawezi kupanda gari kwani ni inakiuka imani yake kali na kanuni za dini yake. Bwana Acharya Kirti Yashurishwarji Maharaj anasema kuwa kwa sasa yuko katika jimbo la Kolkata,zaidi ya kilomita 2,000 kutoka mahakama hiyo iliyoko katika mji wa Ahmedabad Magharibi mwa India. Yashurishwarji Maharaj anasema iliaupokee uongozi wake wa kidini ilimbidi kuukata ulimwengu na malimwengu kwa hivyo hawezi kushiriki mambo ya ulimwengu ikiwemo magari. Mahakama hiyo hata hivyo imekatalia mbali ombi lake la kutaka kesi hiyo iahirishwe. Bwana Acharya Kirti Yashurishwarji Maharaj anakabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti rasmi vya serikali vilivyomruhusu kuwashawishi watoto wa kihindi kujiunga na itikadi hiyo ya Jain. Ushawishi wa watoto kujiunga na madhehebu yeyote yanakwenda kinyume cha sheria za kuwalinda watoto nchini India. - See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/10/jamaa-atoa-kituko-cha-mwaka-mahakamani.html#sthash.KF6Z6GUd.dpuf
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko