SHUHUDIA HUYU JAMAA ALIVYOJIPIGA RISASI,ETI ANAONJA MAUMIVU YA RISASI MWILINI!!

Kesi za watu kujipiga risasi ni ishu ambazo ziko kwenye headlines.. zimekuwa zikitokeasehemu mbalimbali duniani kutokana sababu mbalimbali.Hii imetokea Hispania.. jamaa kakaa akaona ajaribu kujipiga risasi ili aone tu maumivu yake yakoje… baada ya kupata jibu akachukua maamuzi mazito, kachukuabastola yake akajipiga mguuni.Polisi hawakumuacha, alitangulizwa kwanza hospitali, akapewa matibabu alafu ishu ikahamia kwenye meza ya Mahakama.Jamaa huyo alijitetea kwa polisi kuwa aliamua kufanya kitendo hicho ili kujua mtuanayepigwa risasi huwa anajisikiaje maumivu yake.. upepelezi unaendelea juu ya kesi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: