SABABU ZA KUKUA KWA MAAMBUKIZI YA VVU LUDEWA

KUTOKUWA NA IMANI NA MAJIBU PINDI UPIMAPO VVU NDIO SABABU YA LUDEWA KUONGOZA KWA UGONJWA HUO: Imeelewa kuwa kupima zaid ya mara moja kwenye vituo tofaut vya afya ndio sababu ya kuendelea kukua kwa wimbi la asilimia za kuongoza kwa ugonjwa huo kitaifa; hayo yamesemwa na dk mkuu wa hopitali ya wilaya ya ludewa wakati akijibu swali liliolizwa katika baraza la madiwani; "tunakiri kuwa wananchi wamekuwa wakipima afya zao zaid ya mara tatu na katika vituo tofaut hali ambayo inafanya ludewa kuwa na maambuzi mengi ya vvu" pia Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Ludewa Mh.Mathei Kongo ambae pia ni diwani wa kata ya lwilo ccm ameongeza pia kuwepo kwa enjos nyingi za kupima vvu hupima na kuongeza idadi ya waathirika kitu ambacho sio cha kweli; hayo yamejiri mara baada ya baraza la madiwani kutaka taarifa hizo zitolewe katika hospitali ya wilaya na vituo vya afya ili kuweza kupata orodha sahihi ya waarhirika wa vv wilayan hapa; baraza hilo la madiwani limefanyika leo na kuhudhuriwa na wajumbe ambao ni madiwani wa kata za ludewa na pamoja na wakuu wa idara za serikali wilayani hapa;
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: