HABARI ZILIZOTUFIKIA OFISI ZA MTANDAO HUU MUDA HUU, ZINASEMA KUWA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TOT NA MBUNGE WA MBIGA MAGHARIBI (CCM) KAPTEIN JOHN KOMBA AMEFARIKI DUNIA MUDA HUU KATIKA HOSPITALI YA TMJ. HIVI SASA ZINAFANYIKA TARATIBU ZA KUHAMISHA MWILI KUTOKA TMJ KWENDA HOSPITALI YA LUGALO. AIDHA IMEELEZWA KUWA, KOMBA AMEFARIKI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI HAPO AKISUMBULIWA NA UGONJWA WA KISUKARI AMBAPO ILIKUWA IMEPANDA HADI KUFIKIA 30 MAJUZI NA KUFANIKIWA KUPUNGUZA HADI KUFIKIA 9 JANA. PIA IKUMBUKWE AMEACHA KAZI KUBWA ALIYOKUWA TAYARI AMEIANZA YA KUTUNGA NA KUREKODI NYIMBO ZA KAMPENI AKISHIRIKIANA NA BAADHI YA WANAMUZIKI WAKE WA ZAMANI KAMA, THABIT ABDUL, JERRY JUMA NA WENGINEO. Mungu ailaze roho ya marehem sehem pema peponi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: