DR CONGO, TUNISIA ZAFUZU KUCHEZA ROBO FAINALI AFCON

Zambia imeng'olewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika huku DR Congo ikifuzu hatua ya robo fainali. Timu ya kwanza kufuzu katika mechi mbili za leo imekuwa Tunisia baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya DR Congo. Lakini Cape Verde na Zambia ambazo zimetoka sare ya bila kufungana zimefungasha virago kurejea nyumbani kutoka katika michuano hiyo ya Kombe la Mataida Afrika.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: