Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
SIMBA SC wametwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2015 baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90. Shujaa wa Simba SC alikuwa ni kipa Ivo Mapunda aliyetokea benchi dakika ya 90 kwenda kuchukua nafasi ya Peter Manyika na kuokoa penalti ya mwisho ya Mtibwa iliyopigwa na Vincent Barnabas. Awali, Ivo alishuhudia penalti ya Ibrahim Rajab ‘Jeba ikigonga mwamba wakati upande wa Simba SC,
penalti ya Shaaban Kisiga ‘Malone’ ilipanguliwa na kipa wa Mtibwa Said Mohammed Kasarama. Penalti za Simba SC zilifungwa na Awadh Juma, Hassan Kessy, Hassan Isihaka na Dan Sserunkuma, wakati za Mtibwa zilifungwa na Aly Lundenga, Shaaban Nditi na Ramadhani Kichuya. Kipa huyo wa Mtibwa ndiye ametajwa kipa bora wa mashindano, mchezaji bora Salim Mbonde wa Mtibwa na mfungaji bora Simon Msuva wa Yanga SC. Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Peter Manyika/Ivo Mapunda dk90, Hassan Kessy, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Hassan Isihaka, Juuko Murushid, Jonas Mkude, Ramadhani Singano ‘Messi, Said Ndemla/Shaaban Kisiga ‘Malone’ dk89, Ibrahim Hajibu/Elias Maguri dk65, Dan Sserunkuma na Emmanuel Okwi/Awadh Juma dk75. Mtibwa Sugar kilikuwa; Said Mohammed, Ally Lundenga, David Luhende, Salim Mbonde, Andrew Vincent, Shaaban Nditi, Mussa Nampaka/Ibrahim Rajab ‘Jeba’ dk66, Muzamil Yassin, Ame Ally/Abdallah Juma dk90, Ally Shomary/Ramadhani Kichuya dk87 na Mussa Hassan ‘Mgosi’/Vincent Barnabas dk78.

0 comments:
Post a Comment