Mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo amelambwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumtwatua na kumlamba ngumi beki Jose Angel Crespo wa Cordoba.
Wakati Ronaldo anapigwa kadi hiyo dakika ya 84, timu hizo zilikuwa sare ya bao 1-1 kabla ya Gareth Bale kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 89. Karim Benzema ndiye alifunga bao la kwanza.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment