MWANAMME AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO MJINI SHINYANGA BAADA YA KUIBA NDALA

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..



Mwanamme mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 30 hadi 32 aliyekuwa anajulikana kwa jina la WA TABORA ameuawa kwa kupigwa kasha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia sheria mkononi karibu na makaburi ya Majengo mjini Shinyanga.Tukio hilo limetokea mchanawa leo na inaelezwa kuwa chanzo ni mwanamme huyo kutuhumiwa kuiba sandals(ndala)

Mwili wa marehemu ukiwa katika shamba la bibi Jeni Kiweru karibu na makaburi ya majengo mjini Shinyanga

Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40.

Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu


Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa

Askari polisi akiwa karibu na mwili wa marehemu
Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu

Wananchi wakiwa eneo la tukio
Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio

Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu

Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu

Askari polisi wakiondoka eneo la tukio

Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio

Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio

Wananchi wakiondoka eneo la tukio baada ya polisi kuondoka na mwili wa marehemu
-picha zote na Kadama Malunde
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: