MUME AUA MKE WAKE KWA KUMKATA SHOKA, KISHA KUMTUPA MTONI KISA WIVU WA MAPENZI

Mwanamke aitwaye Maria Haule mkazi wa Kijiji cha Muhukuru Songea vijijini mkoani Ruvuma ameuawa kwa kukatwa na shoka kichwani na mume wake aitwaye Salvatory Ndimbo na kisha mwili wake kuutupa mto Mkurumo. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma ACP Mihayo Msikhela anasema chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi wa kimapenzi ambapo marehemu Maria Haule mwenye miaka arobaini alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine aitwaye Anzekula na kutaka kuachana na mumewe Salvatory Ndimbo mwenye miaka sitini. Jeshi la polisi linaendelea kumsaka mume wa marehemu Maria Bw. Ndimbo mbaye ametoroka baada ya kufanya unyama huo
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: