HANS POPPE AWEKA MSISITIZO, ATAKA NA AMISSI TAMBWE NATE AADHIBIWE

Mshambuliaji Samuel Eto'o wa Everton yuko nchini Italia katika harakati za mwisho kujiunga na klabu ya Sampdoria. Eto’o yuko nchini humo kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya kabla ya kujiunga na klabu hiyo inayoshiriki Serie A. Tayari Everton chini ya KochaRoberto Martinez imekubali kumuachia straika huyo mwenye umri wa miaka 33 aondoke Goodison Park.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: