BUNGENI: Zitto atoa sababu ya kukacha kuwasilisha taarifa ya PAC

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo hakuweza kuwasilisha taarifa ya kamati ya PAC Bungeni kama ambavyo ratiba ya Bunge ilivyopangwa. Aidha, Zitto Kabwe katika ukurasa wa facebook ameeleza sababu ya kutokwenda kusoma ripoti ya PAC leo.Sababu kubwa amesema ni hawezi kuona uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu akaendelea na mambo mengine kama hakuna kilichotokea. Amesisitiza kuwa kitendo cha Polisi kutumia nguvu kupiga raia hovyo na kumdhalilisha Prof.Lipumba ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: