Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Kocha alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake akiondosha hatari.
Ilikuwa ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa.
Kikosi cha Mancini kilimaliza dakika 90 na ushindi wa mabao 3-1.
Beki Nemanja Vidic alifunga bao la tatu likiwa la kwanza kwake akiwa na klabu hiyo aliyojiunga nayo akitokea Manchester United.
@salehe jembe
0 comments:
Post a Comment