Mtanange kati ya yanga na polisi morogoro umeanza katika uwanja wa jamhuri mji wa morogoro hadi sasa milango bado migumuDk 15 za mwanzo yanga wanataka dimbani wanalishambilia sana lango la timu ya polisiDk 42 yanga waanza kuandika goli la kwanza kupitia kwa dany mrwanda ;;kipindi cha kwanza chamalizika yanga ikiongoza kwa goli moja;
kipindi cha pili kimeanza yanga 1 polisi bado hali tete
polisi moro wanafanya badiliko bahanuzi anaingia uwanja kuchukua nafasi
Mabadiliko ya kuingia bahanuz yanaamsha mashambulizi kwa timu ya polisi
dk 42 yanga wanapoteza nafasi mbili ambazo zingeweza kuwapatia magoli
mpira umemalizika yanga moja na polisi bila yanga wanaondoka uwanjani na point tatu muhimu;;
nasi hatuna la ziada ila nikupe ahsante na kukukaribisha tena uperuz mtandao huu kesho ni simba na azam mbeya city na tanzania prison live kupitia njenje news blog
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment