HURUMA YA DEREVA KUKWEPA BATA BARABARANI,YASABABISHA AJALI MBAYA

Huenda huruma yake kwa viumbe hawa ndiyo iliyomponza na kusababisha mauti ya watu waliokuwa katika gari alilokuwa akiendesha. Mwanamke mmojaEmma Czornobaj raia wa Canada, amejikuta na hatia kutokana na kufanya uzembe ambao umesababisha ajali mbaya ya gari, alisimamisha gari ghafla katika barabara kuu kwa lengo la kuwaacha bata wakiwa kwenye kundi kubwa wavuke barabara na kusababisa kutokea kwa ajali na vifo vya watu wawili. Gari lililokuwa linakuja nyuma liligonga kwa nyuma ya gari la mwanamke huyo na kusababisha kifo chaAndre Roy na binti yakeJessie mwenyeumri wa miaka 16, Czornobaj alisikitika pale aliposimama na kukusanya bata wote na kuwaweka kwenye gari lake. Mwanamke huyo alikutwa na makosa mawili, kuendesha gari kwa kasi na uzembe, amehukumiwa kukaa jela siku 90 pamoja na kuihudumia jamii kwa saa 240, pia amepigwa marufuku kuendesha gari kwa muda mwa miaka kumi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: