Askari wa jeshi la Polisi kituo cha Ludewa mjini ambaye alikuwa lindo la bank ya NMB mwenye namba G.6352D/Caliyefahamika kwa jina moja la Abduel anasadikika kumuuakwa kumpiga risasi na bunduki aina ya SMG kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la January Mtitu (20) usiku wa kuamkia tarehe 23/01/2015 nyumbani kwa kijana huyo.
Kufuatia tukio hilo ambalo limelipotewa sehem mbalimbali hill leo limewashtua wananchi wa ludewa hivyoo mafundi seremala wilayani hapa
Wagoma kutengeneza jeneza la mwili wa marehemu kufuatia ,
Tukio hilo ambalo limetokea baada ya imewashtua .
wananchi wa mji wa Ludewa ambao hawajawahi kuona matukio kama hayo yakifanyika katika mji wao.
Hali hiyo imesababisha baadhi ya wananchi kutaka kufanya maandamano ya amani kupinga kitendo hicho cha kulaani jeshi la polisi kumuua mwananchi asiye na hatia na pia wamesusia kuchonga sanduku la kuuzika mwili wa marehemu huyo wakitaka jeshi la polisi wilayani Ludewa lihusike katika mazishi ya mwananchi huyo.
Home
Uncategories
WANANCHI LUDEWA WASUSIA KUCHONGA JENEZA LA MAREHEM ALIYE UAWA KWA RISASI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YA AMAN;
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment