ALIKIBA AWAJIBU WANAODAI VIDEO YAKE YA WIMBO WA ‘MWANA’ NI MBOVU

i wish you happy chrismass and happy new year


Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa.

Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu.

Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake amejenga video, ame-make video itakuwa vipi,” amesema. Kwa sababu nyimbo imeelezea vitu vingi ni pana kama unavyoona na ina vitu vingi madawa, ma-prostitute, ukabaji, wizi, vitu fulani vingi sana nisingeweza vyote kuweka katika video kwa sababu kila mtu anamind yake. Kwahiyo nilivyofanya utofauti nili-concetrate kwenye dancing na kucheza na feeling za kuimba. Video nyingi zimeshafanyika duniani sio ya kwangu tu, kwahiyo watu wasishangae vitendo havikuwepo nimemaanisha sio nimefanya ili tu nitoe video.

Ule utofauti uliokuwepo ndo uzuri wa video yenyewe. Professionals walifanya hiyo video kwa sababu ni production kubwa iko na watu ambao wali script vile vile kwahiyo tulishauriana na tuka be grateful for kufanya hicho kitu. Dancing style inaitwa Kalila. Choreographer wangu ndio alifanya hiyo yote kila kitu.”
~Bongo5
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: