Jivunie kuwa mwana ludewa
Mtandao wa kijamii wa Instagram umetangaza rasmi kufikisha watumiaji
milioni 300na hivyo kuipita kwa mbali zaidi mtandao Twitter wenye
watumiaji milioni 284,akiongea kwenye kipindi cha Newsbeats mkurugenzi
wa kampuni hiyo Bw. Kevin Systrom akiri kukua zaidi kwa mtandao wake huo
wa kijamii kutokana na kutumiwa zaidi na makampuni na watu binafsi
kusambaza taarifa kwa kwa jamii kwa njia ya picha.Kitu
kingine kinachofanya mtandao wa Instagram kukua zaidi ni baada ya
kununuliwa na Facebook yenye watumiaji bilioni 1.35 mwaka 2012.Instagram
uthibitisha akaunti za makampuni,watu maarufu na wanamichezo
imesababisha kuifanya iweze kupendwa zaidi na watu wa rika zote kote
Duniani.
Mkurugenzi huyo pia aelezea jinsi wanavyokabiliana na akaunti bandia kwa kuzifuta mara moja na pia kuwa na mpango wa kuanzisha kipengele kipya kwa ajili ya matukio.
Mkurugenzi huyo pia aelezea jinsi wanavyokabiliana na akaunti bandia kwa kuzifuta mara moja na pia kuwa na mpango wa kuanzisha kipengele kipya kwa ajili ya matukio.
SOURCE.UDAKU MAGAZINE
0 comments:
Post a Comment