Jivunie kuwa mwana ludewa
Wanafunzi wa shule ya msingi Ludewa mjini wakikusanya bati chakavu |
Katibu wa mbunge wa Ludewa Bw Stanley Gowele akipita kando ya vyumba vya madarasa vilivyoezuliwa na kimbunga |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akisaidia kushusha bati |
FIlikunjombe kulia akibeba bati alizozitoa kwa ajili ya shule ya msingi Ludewa mjini |
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi Ludewa wakimpongeza mbunge Filikunjombe kwa msaada wake |
Mbunge wa jimbo a Ludewa Deo FIlikunjombe akifafanua jambo |
Wanafunzi wa shule ya Msingi Ludewa mjini wakisomba bati zilizotolewa msaada wa mbunge Filikunjombe |
Mbunge Filikunjombe kushoto akishirikiana na wanafunzi wa shule ya Msingi Ludewa mjini kusomba bati |
Filikunjombe akishiriki kusomba bati |
Mbunge Filikunjombe na viongozi wengine wakisomba bati |
WAnanchi wakishiriki kusomba bati |
Mbunge Filikunjombe akitazama vyumba vya madarasa vilivyoezuliwa |
Filikunjombe akitembelea jengo hilo |
Filikunjombe akizungumza na wazazi na walimu wa shule ya msingi Ludewa mjini |
Walimu na wazazi wakimpongeza mbunge Filikunjombe kwa msaada wake mkubwa |
Filikunjombe akitoa maelekezo kwa kamati ya shule na wazazi |
Mkuu wa shule hiyo Bi Agnes Magazi akimwongoza mbunge Filikunjombe kutazama vyumba vya madarasa vilivyoezuliwa |
Wananchi wakishirii kusomba saruji iliyotolewa na mbunge Filikunjombe |
Diwani wa kata ya Ludewa mjini MOnica Mchilo kushoto na afisa maendeleo ya jamii Ludewa mjini Teopista Kayobo wakishiriki kubeba saruji |
Katibu tawala ya Mawengi Bw Dames Kavindi na fisa maendeleo ya jamii Ludewa mjini Teopista Kayobo wakishiriki kubeba saruji |
Mbunge Filikunjombe akishuhudia mchanga ukishushwa |
Filikunjombe akitoa maelekez o |
Filikunjombe akishiriki kuchanganya mchanga na wananchi |
Filikunjombe akishiriki kusomba mbao |
Mbunge wa
jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishiriki kusoba mbao kwa ajili
ya kujenga vyumba vya madarasa vitatu katika shule ya msingi Ludewa
mjini vilivyoezuliwa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu kabla ya
kujitolea zaidi ya Tsh milioni 13 kujenga upya vyumba hivyo
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kushoto na katibu wake Stanley Gowele wakipata chakula cha machana eneo la ujenzi pamoja na wapiga kura wake |
Katibu
wa mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe Bw Honaratus Mgaya kulia na katibu
wa mbunge Bw Gowele na mbunge Filikunjombe wakipata chakula
|
0 comments:
Post a Comment