MKE WA CHENGE WA ESCROW AONGOZA VURUGU CCM NA CHADEMA HUKO BARIADI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida usiku wa kuamkia leo, kumetokea vurugu kubwa katika kijiji cha Ngashanda kata ya Malambo Halmshauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu baina ya wafuasi wa CCM na CHADEMA, huku mke wa Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge akidaiwa kuongoza vurugu hizo.
Mke wa Mbunge huyo ambaye ni mbunge wa Bariadi Magharibi, huku akiwa na kashfa kubwa ya kupokea mgao mkubwa katika kasfa ya uchotwaji wa fedha za escrow zaidi ya Shilingi Bilioni 3000 aliongoza vurugu hizo pamoja na kupiga risasi hewani.
0 comments:
Post a Comment