BREAKING NEWS..!! WAGOMBEA WAJIONDOA KWENYE KINYANG'ANYIRO BAADA YA KUTISHIWA KUUAWA,KUCHOMEWA NYUMBA ZAO HUKO SIMIYU

Jivunie kuwa mwana ludewa



Wakati zoezi la kupiga kura uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa kwa ngazi za vijiji, vitongoji pamoja na mitaa ukiendelea leo nchi nzima hali si shari mkoani simiyu katika wilaya ya Busega.


Taarifa zilizotolewa na jeshi polisi Mkoani Simiyu pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Paul Mzindakaya zinaeleza kuwa katika mji wa lamadi viongozi walikuwa wanagombea katika uchaguzi huo kupitia CCM wamejiondoa katika dakika za mwisho.


Taarifa hizo zilieleza kuwa viongozi hao wamejiondoa kwa madai ya kutishiwa kuuawa, kuchomwa moto nyumba zao ikiwa pamoja na familia zao kuuawa na wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: