MZEE AOMBA MSAADA WA KISHERIA KUFUATIA MWANAYE KUTAKA KUUZA KABURI LAKE

Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 80 ameomba msaada wa serikali kuingilia kati na kuzuia mtoto wake kuuza shamba lake ambalo alilichimba zaidi ya miaka 35 iliyopita. Shamba lenyewe lipo Mathira Kenya ambapo mzee analalamika kwamba mtoto wake wa kiume amekuwa akiuza sehemu ya shamba hilo kidogo kidogo. Amesema tofauti na matarajio yake alikuwa akiamini Mtoto huyo angekuja kumsaidia uzeeni lakini ndio amekuwa akiuza shamba hilo bila ruhusa yake na kuhofia kuwa anaweza kuuza hata kipande cha shamba ambacho amechijimbia kaburi lake.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: