i wish u happy chrismass and ney year
Ilimchukua takribani dakika 6 Martin Skrtel kutibiwa jeraha lake.
Baada ya matibabu Skrtel alirejea mzigoni na kuisawazishia timu yake ya Liverpool
Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa.
0 comments:
Post a Comment