WATOTO WA KIPAIMARA KATIKA KANISA LA ANGLICAN WILAYANI LUDEWAWAFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA LUDEWA

mtoto wa kipaimara akimwona mgonjwa akina mama wakiwa katika shughuli zao watoto wakiwa pamoja na zawadi za kuwafariji wagonjwa Watoto wanaoyarajiwa kupata kipaimara mwaka huu katika kanisa la watakatifu wote Wilayani Ludewa Mkoani Njombe dayosisi ya south west tanganyika wamefanya ziara ya kuwafariji wagonjwa mbalimbali katika Hospitali ya wilaya ya ludewa   .Katika ziara hiyo ya kuwafariji wagonjwa watoto hao walipata Baraka zote kutoka kwa kasisi wa kanisa kuu la watakatifu wote Mch.Mturo ambapo aliwaasa waumin wa kanisa hilo  kutoa sadaka kwa ajiri ya kumpeza MUNGU na sio binadamu Pia ameongeza kuwa ni vyema kwa waunin na wananchi wote wialyan hapa kujenga tamaduni za kwenda kuwafariji na kuwaona wagonjwa kila mara kwani kufanya hivyo kunawapa faraja wagonjwa na pia kunawaongezea dhawabu mbele ya mwenyezi MUNGU.Watoto hao waliongozana na Mwal.wao Azali Haule ambapoKwa upande wa wauguzi wa hospitali ya wilaya ya Ludewa wamewashukuru kwa moyo wa dhati watoto hao pamoja na kanisa nzima la watakatifu wote lilipo ludewa kwa kitendo hicho cha kuwafariji wagonjwa.Kwa upande wa wagonjwa hao pamoja na akina mama wajawazito waliopo katika wodi maalum ya kuwatunzia akina mama hao wameshukuru kiujumla wototo hao .alisema mama mmoja aliyekuwa wodin hapoJivunie kuwa mwana ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment