Wednesday, November 23, 2016

REKODI MPYA ZA MAAJABU DUNIANI KATIKA KITABU CHA GUINNESS



Kundi jipya lililoingia kwenye rekodi za ajabu duniani katika kitabu cha Guinness akiwemo mwanamke Julia Plecher kutoka Ujerumani (katikati) anayeshika nafasi ya mwanamke aliyekimbia kwa kasi mita 100 akiwa amevalia viatu vya mchuchumio kwa kutumia sekunde 14.531.

Pia mbwa Ozzy wa Uingereza anayeshikilia rekodi ya kuwa mbwa mwenye uwezo wa kutembea juu ya kamba pamoja na mbwa Milly wa kike wa aina ya Chihuahua ambaye anashikilia rekodi ya mbwa mdogo kuliko wote duniani anaurefu wa sentimita 9.65.





Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment