Wednesday, November 23, 2016

KUTANA NA DUMA MWENYE MAPENZI YA DHATI KWA MSIMAMIZI WAKE


Duma Mulan amekuwa akiwashangaza wengi kutokana na kuonyesha mapenzi kupita kiasi kwa msimamizi wake Abdula Sholeh, kiasi cha kumlamba usoni kila anapokutana nae.

Kitendo hicho kimekuwa kikivuta hisia za Abdullah ambaye nae kwa mapenzi alionayo kwa duma huyo huwa anachezanae pamoja na kulala nae chumba kimoja huko Malang, Indonesia. 



 



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment