Saturday, April 23, 2016

CHELSEA YAWAPA WATU 4-1 TENA NYUMBANI KWAO

Kiungo wa Chelsea, Willian akimvisha kanzu kipa wa Bournemouth, Boruc kumalizia pasi ya Fabregas kuifungia Chelsea katika ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro, Hazard mawili na Willian, huku la wenyeji likifungwa na Elphick Uwanja wa PICHA ZAIDI GONGA HAPA


ubovu wa bara bara ludewa nini suluhisho

No comments:

Post a Comment