Saturday, April 23, 2016

BALE ATUPIA MBILI KWENYE KAMBA, REAL YASHINDA 3-2 LA LIGA

Gareth Bale akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Rayo Vallecano. Bale alifunga mabao mawili, wakati lingine limefungwa na Vazquez 52 huku ya wenyeji yakifungwa na Embarba na Fedor Flores



Ludewa yetu na maendeleo yetu

No comments:

Post a Comment