Thursday, January 29, 2015

Mourihno alimwa faini nzito na FA

Kocha wa Chelsea Jose Mourihno alimwa faini nzito na chama cha soka nchini Uingereza(FA) ya paundi 25000 ($38,000) ka matamshi yake kwa marefa. Mourihno alitoa matamshi hiyo kwa timu yake kuwa na kampeni juu ya timu yake ya Chelsea baada ya kumalizika mchezo kati ya Chelsea na Southampton ugenini mnamo Desemba 28. Mreno huyo alipinga mashtaka hayo lakini Kamati Huru ya Kinidhamu ya FA iliamua kuwa matamshi hayo “hayakufaa na yalishusha hadhi mchezo” ingawa ilisema “hayakudai refa au marefa wanapendelea.” Mourinho alikanusha mashtaka hayo akisema hayakuwa utovu wa nidhamu lakini tume hiyo iliamua kinyume na kusema alikiuka kanuni ya FA nambari E3.

No comments:

Post a Comment