IVORY COAST YASONGA ROBO FAINALI AFCON, CAMEROON YASHIKA MKIA, NJE

IVORY COAST YASONGA ROBO FAINALI AFCON, CAMEROON YASHIKA MKIA, NJE Ivory Coast imefuzu hadi hatua ya robo fainali ya michuano ya Afcon inayoendelea nchini Equatorial Guinea baada ya kuichapa Cameroon kwa bao 1-0. Lakini pigo kwa Afrika Magharibi baada ya Cameroon kufuzu katika hatua hiyo ya makundi. Lakini gumzo ni Mali na Guinea ambazo zimeringana pointi tatu kila moja, mabao ya kufunga na kufungwa. Caf ilieleza utafanyika utaratibu wa droo ili kupata uhakika timu gani iliyofuzu na baadhi waliishatangaza kuwa Guines ndiyo iliyofuzu. Timu hizo mbili zilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi yao ya mwisho na kufikisha pointi tatu huku Cameroon ikishika mkia kwa kuwa na pointi 2 na vinara ni Ivory Coast wenye pointi 5.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: